Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Wacha nisione kabisaHuwezi amini mpaka sasa sijaiangalia hiyo video na niko dar hapa hapa ππ
Siku hiyo ataonyesha hadi video?sisi yanga day πtuta enjoy sana kwa mkapa
Wimbo ni mkali sana hata mimi nimeupenda kwa mara ya kwanza tu nilivyoanza kuusikiaWimbo mkali
Video kali mno
KOmasava ni kama project flani diamond amekua nayo serious sana!
Huu wimbo nmeupenda tangu siku ya kwanza kuusikia kile kipande Cha diamond mpaka nikajiuliza huyu Mond au nani? Mbona hii ngoma kama ina potential flani ya kufika duniani!
Wssioukubali huu wimbo ni watu wasiojua kucheza.. ila kama unadance ina vibe zaidi ya ile ya South
Absolutely na kizuri jamaa hajui kulizika japo kafanikiwa sana hii inawashinda wasanii hata wachezaji wetu wa bongo wakishapa hizi mil 10-20 wanaona wamemaliza maishaWanakosea sana kumfananisha Diamond na Ali Kiba bongo, Kibongo bongo Diamond hana mpinzani, Alikiba afananishwe na level zake kina Mbosso na Marioo... he's too next level kwa mziki wa Bongo..