Video ya Paloma nyimbo ya Mr P ft Singh ndo video ya uongo zaid kuishudia maishani mwangu

Video ya Paloma nyimbo ya Mr P ft Singh ndo video ya uongo zaid kuishudia maishani mwangu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Ndani Kuna mpaka maji ya kandoro anapewa mke wa tajiri anywe, hahaaaaaa ila hii dunia hii

Sasa hapo mgerasi kama MIN-me akiiitazama anajifariji et IPO siku naye atapata demu wa kishua

Dah acha nicheke mie

LONDON BOY
 
Back
Top Bottom