Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

Akili hamna ushabiki na uzombi umewajaa hadi hao wafadhili wao marekani wameonya kuhusu mauaji ya raia kwa israel kutumia heavy bombs bila ya sababu za msingi kwa raia and thats genocide, hakuna taifa lolote duniani lililoua watu hadi sasa kama israel, ndio maana hata waziri wa vita gantz alijiuzulu na ndio maana waziri wa ulinzi wa sasa gallant anapingana wazi na netanyahu, acheni uzuzu
 
Ndipo watambue uchungu wa visasi....
Israel wameisha wauwa Wapalestina zaidi ya Laki 2 sasa sijui nani analipiza kisasi nyie mmeanza kufahamu hivi vita JF october 7.

View: https://x.com/nadira_ali12/status/1823170394787913728?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw[/QUOTE]
Visasi mlianza navyo nyie kutaka kuirudisha ardhi na mashamba mnayodai kuwa ni yenu na mababu zenu.

Mnasahau kuwa Israel ilikuwepo ata kabla ya hilo kabila la Wapalestina..

Ona sasa mnapigana "A loosing battle"
 
October 7 Hamas walirusha Makombora zaidi ya 5000 kwenye Makazi ya Watu na Tamasha la muziki walaitaka waue Watu wengi sana.

Israel iue angalau Wapalestina 40,000
 
 
Duuuh sasa hivi ni muda wao kulia, kipindi wanaua waisrael walikuwa wanasherehekea
Ni mapumbavu sana pamoja na mafuasi yao kibaigwa. Siku yanamuuwa Joshua yalikuwa yanashangilia huku yanaimba ule mwimbo wa kigaidi "Allahu Akbar"
[/QUOTE]
Sasa hivi wamepewa kijiti wanaanza kulia lia na kuposti vipicha vya watoto wameuwawa.

Mbona hawaweki za wakubwa 🤔🤔...?

Wanadhani tumesahau walivyokuwa wanashuka na maparachuti.

Je kama wanaitaka kweli hiyo huruma ya Israel kwanini wasiwaachie mateka wao 😳😳.?

Yaani kusikia kwa kenge hadi damu...
 
Acha kurukia misamiati ya Genocide usiyoijua,

Genocide ni kama Hamas wanachotaka kufanya kuua waisrel wote from the river to the sea, Hata Rwanda ilitokea wahutu kutaka kuua watutsi wote,

Genocide ipi hiyo unazungmzia hadi kuna vifo elf 30 tu ? kati ya hivyo 40 % ni Hamas ?? 60 % wengi ni raia waliokufa kwa kutumika kama ngao za hao Hamas.

Ikumbukwe global ratio ya vitani 90 % ya vifo huwa ni Raia, 10 % ni millitants
 
Huna hoja za maana za kuzungumzia hapa zaidi ya umepata kibando chako na umeshadanganywa na mchungaji huko mbwinde unaongea tu
UNajua maana ya neno genocide? Unajua israel kaua kwa makusudi wapalestina wangapi hadi sasa? Umaweza kupiga bomu hospital au shule kisa unasema unawaua hamas? Unajua kwa nini waziri wa vita wa israel alijiuzulu? Umefuatilia case ya israel icj na ya netanyahu icc
Embu uww unafuatilia international iaaues kabla ya kuongea upupu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…