Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

Mpumbavu.
 
Israel ya sasa huruma imezidi ingekuwa ni ile Israel ya zamani hao wapalestina hadi leo wangeishauliwa zaidi ya milioni moja, wana bahati sana na washukuru Mungu.
Watu wasio na hatia wanauwa hivi alafu mnasema Israel anahuruma kweli wajinga mpo wengi sana
 
Magaidi waisrael wanaua watu ovyo Israel ndio gaidi mkuu.Huyu Israel walimsulubu Yesu na kumuua,kifo kibaya.Anawasubiri,hawatauona ufalme wa mbinguni.
 
Watu wasio na hatia wanauwa hivi alafu mnasema Israel anahuruma kweli wajinga mpo wengi sana
Huyu Israel ni gaidi,alimfanyia ugaidi Yesu,wakamsulubu,wakamuua,na kumuitq mtoto wa nje ya ndoa,Yesu aliyekuja kuwakomboa,wafikiri watashindwa kuwafanyia ugaidi wengine.
 
Hawa magaidi Israel,walimuua Yesu,na kumsulubu na kumuita mtoto wa nje ya ndoa,Yesu aliyekuja kuwakomboa,wafikiri watashindwa kufanya ugaidi kwa wengine?
 
Huyu Israel ni gaidi,alimfanyia ugaidi Yesu,wakamsulubu,wakamuua,na kumuitq mtoto wa nje ya ndoa,Yesu aliyekuja kuwakomboa,wafikiri watashindwa kuwafanyia ugaidi wengine.
Ukifuatilia kwenye sheria zao utaona wanavyotuchukulia Sisi wengine ambao sio jamii yao kwenye sheria zao za Talmud.nashangaa watanzania wanaowashabikia hao wakati wenyewe wanatuchukulia kama wanyama.
 
Sheria za Vita katika miji mikubwa zinasemaje ?
 
Kitendo cha Haniyeh kulala chumba kimoja kinafikirisha sana kama kitendo cha Emmanuel mchimbi kuagiza viongozi wa Chadema ambao tunaambiwa ni magaidi kurudi uraiani
 
JAMAA WAPO VIZURI SANA. WAPO DUNIA NYINGINE. YAANI PUNDA AMEBAKI SALAMA SALIMINI?????????????????????????????????????????????????????????????????????? SALUTE T O THEM. HAPO MAARABU YANGEUA HADI RAIA WASIO NA HATIA KWA KUJIOTOA MHANGA
 
Watu wasio na hatia wanauwa hivi alafu mnasema Israel anahuruma kweli wajinga mpo wengi sana
Wao walipoua mlishangilia sana hadi wakaua na watanzania wenzenu na bado mkashangilia sasa watu wanyama kama hao wanapouliwa kwa nini ituume na sisi ngoja tushangilie.
 
Wao walipoua mlishangilia sana hadi wakaua na watanzania wenzenu na bado mkashangilia sasa watu wanyama kama hao wanapouliwa kwa nini ituume na sisi ngoja tushangilie.

haya shangilia mashoga wenzako wameanza pia kuolewa na farasi Jerusalemu , mabasha wameuliwa vitani

si
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…