VIDEO: Yadaiwa abiria alizimia ndani ya Mwendokasi, Gerezani kutokana na msongamano mkubwa

VIDEO: Yadaiwa abiria alizimia ndani ya Mwendokasi, Gerezani kutokana na msongamano mkubwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Yadaiwa kuwa abiria mmoja alizimia ndani ya basi la mwendokasi eneo la Gerezani kutokana na msongamano mkubwa.

IMG_5752.jpeg


 
Kama huna ulazima usifanye route xa gerezani hasa mida ya jioni au asubuh, ni hell.
 
Mnakaa Gerezani lisaa gari zimerundikana tu madereva wanapiga stori 💔
 
Kimara ni nzuri ila usafiri wa Mwendokasi naona kama Wachagga wanapigwa bakora kwa kutokuipenda CCM.
 
Back
Top Bottom