VIDEO: Yanga wamewafuata Simba huko Bunju Mo Arena ili mechi ipigwe dabi ya Kariakoo

VIDEO: Yanga wamewafuata Simba huko Bunju Mo Arena ili mechi ipigwe dabi ya Kariakoo

Hawa M23 Wanawachokoza FDLR Ipo siku kitawakuta kitu tu.
 
Kauli ya Manara inazidi kujithibitisha kuwa Wenye akili ni wawili tu hapo kwenye hiyo club... club imejaa waswahili na uswahili.... Pathetic fool... Huu kama sio uswahili ni nini...?? hivi kwenye hiyo club hakuna watu wasomi...?
Wasomi ni nyie mliemleta Manzoki kwenye kampeni za Mangungu. Ushuzi mtupu
 
Daah!! Jamani YANGA Wamewafata SIMBA Kwenye Uwanja Wao Wa Mazoezi "Bunju", Wanataka Wachezenao Mechi Huko Huko Kwao Baada ya Kukataa Kucheza Kwa MKAPA [emoji23][emoji119][emoji23][emoji2089]

Huu Ndio "Ubaya Ubwela" Sasa [emoji23]
Screenshot_20250309-174051.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom