VIDEO: Yanga wamewafuata Simba huko Bunju Mo Arena ili mechi ipigwe dabi ya Kariakoo

Haiwezekani watumiwe nauli waje halafu hawaji so wamewafuata hukohuko
 
Kuna mambo yakifanyika pale Yanga unajua kabisa nyuma yake kuna nani. Na nyuma ya hili kuna Ali kamwe na priva.
 
Gsm ni mtu mdogo sana tutamnyoosha yeye na wapiga kelele wake kina priva
GSM ni mtu mkubwa mno nchi hii, wenye kuelewa na muelewe. kuna mkono wa kigogo aliyewahi kushika usukani miaka kumi kurudi nyuma iliyopita. ni tajiri na jeuri lenye pesa kuliko yeyote nchi hii. nani asiyemfahamu?
 
Huyo TUNAJUA ni dalali ndio maana njaa na aibu havimwishi.hata huo usukani alibebwaga na akasaliti wenziwe.
 
Klabu ya Yanga iliwafuata wapinzani wao wa jadi, Simba SC, huko Bunju kwa ajili ya kuhakikisha mechi yao inachezwa.

Hata hivyo, badala ya msafara mzito, ni dereva na watu wachache tu waliofika Mo Arena kisha kupiga honi na kuondoka

View attachment 3264449
Ni pumbavu wa Hali ya juu, walicho Fanya ni uchokozi na walienda chochea hasira za watu, assume ungetolea reaction na Mali kuharibiwa au mtu kudhuriwa angewajibika nani? Wamedhid kudhihirisha pumbavu wao
 
GSM ni mtu mkubwa mno nchi hii, wenye kuelewa na muelewe. kuna mkono wa kigogo aliyewahi kushika usukani miaka kumi kurudi nyuma iliyopita. ni tajiri na jeuri lenye pesa kuliko yeyote nchi hii. nani asiyemfahamu?
Kikwete
 
Back
Top Bottom