VIDEO: Yanga wamewafuata Simba huko Bunju Mo Arena ili mechi ipigwe dabi ya Kariakoo

VIDEO: Yanga wamewafuata Simba huko Bunju Mo Arena ili mechi ipigwe dabi ya Kariakoo

Ni pumbavu wa Hali ya juu, walicho Fanya ni uchokozi na walienda chochea hasira za watu, assume ungetolea reaction na Mali kuharibiwa au mtu kudhuriwa angewajibika nani? Wamedhid kudhihirisha pumbavu wao
mpira sio vita,kwamba wamekatiana mipaka kuwa ukivuka basi unaliwa kichwa. Mkuu,kila mtu ana free movement,na maendeo hayo ni sehem tu ya matembezi yao, kwa maana wana uhuru na haki ya kutembea, zinduka
 
Wanazidi kudhihirisha kuwa wao ni wakorofi na wagomvi kama walivyofanya fujo juzi Ijumaa jioni pale kwa Mkapa, viongozi wa Yanga wana ujinga mwingi sana kuruhusu upuuzi huu.
 
Attachments

  • VID-20250309-WA0000.mp4
    6.5 MB
mpira sio vita,kwamba wamekatiana mipaka kuwa ukivuka basi unaliwa kichwa. Mkuu,kila mtu ana free movement,na maendeo hayo ni sehem tu ya matembezi yao, kwa maana wana uhuru na haki ya kutembea, zinduka
Imeshakuwa vita tayari maana ukichunguza utagundua watu Sasa wanakomoana na kudhalilishana,hili jambo lilianza kidogo kidogo Sasa limekomaa.Kuna watu wanawafuatilia wenzao kike.KILA MTU ALE ILIPO SAHANI YAKE.mfano nikiingia robo fainali mabingwa zile billion moja na usheezihesabike ni zangu na sio za dalali Wala mtu kati.
 
Sasa nimeanza kuamini kwa nn serikali ya CCM inaamini wazee katka utendaji kuliko vijana, pale yanga tumewaamini vijana katika utendaji na mambo wanayoyafanya ndio haya. Mfano hili lilikuwa na tija gani kulifanya, kipi klabu imenufaika nacho kwenye hili au lile la juzi la kupeleka timu uwanjani wakati official statement imetoka mapema tu kuwa mchezo umehairishwa lilikuwa na tija gani.
Na hii ndo club tunayoambiwa inaendeshwa kwa weledi, wanaacha kufanya vitu vya msingi wanafanya maigizo na utoto kama huu.
 
Ukute haya nayo yalikuwa maamuzi ya mkutano online.
 
mpira sio vita,kwamba wamekatiana mipaka kuwa ukivuka basi unaliwa kichwa. Mkuu,kila mtu ana free movement,na maendeo hayo ni sehem tu ya matembezi yao, kwa maana wana uhuru na haki ya kutembea, zinduka
Mtemblee mgoni wako uone nini kitatokea kama issue ni free movement
 
[emoji1787] bado tunampenda my wetu tumehamu kumdusua maana alikuwa anapiga sana kelele mara masindano fc, mara hongahonga fc, haribu ligi fc walisema mengi ajabu kumbe hata kutuface hataki!.
we only need just one kiss from her!.. [emoji16]
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. [emoji706]
 
Back
Top Bottom