mpira sio vita,kwamba wamekatiana mipaka kuwa ukivuka basi unaliwa kichwa. Mkuu,kila mtu ana free movement,na maendeo hayo ni sehem tu ya matembezi yao, kwa maana wana uhuru na haki ya kutembea, zindukaNi pumbavu wa Hali ya juu, walicho Fanya ni uchokozi na walienda chochea hasira za watu, assume ungetolea reaction na Mali kuharibiwa au mtu kudhuriwa angewajibika nani? Wamedhid kudhihirisha pumbavu wao
Mara ngapi tumesema humu viongozi wa Yanga ni wahuni. Na muhuni hana muda wa kutumia akili.YANGA, msinifanye nitake kuhama timu yenu!!!
😂😂😂😂😂
Imeshakuwa vita tayari maana ukichunguza utagundua watu Sasa wanakomoana na kudhalilishana,hili jambo lilianza kidogo kidogo Sasa limekomaa.Kuna watu wanawafuatilia wenzao kike.KILA MTU ALE ILIPO SAHANI YAKE.mfano nikiingia robo fainali mabingwa zile billion moja na usheezihesabike ni zangu na sio za dalali Wala mtu kati.mpira sio vita,kwamba wamekatiana mipaka kuwa ukivuka basi unaliwa kichwa. Mkuu,kila mtu ana free movement,na maendeo hayo ni sehem tu ya matembezi yao, kwa maana wana uhuru na haki ya kutembea, zinduka
gsm mabonye tu ila kuna tyrant mwenyewe apo nyuma ya pazia na hakuna mtu wa kumfanya kitu apa Bongo kwa wakati huuGsm ni mtu mdogo sana tutamnyoosha yeye
Na ni wasomi kwelikweli hebu angalia jinsi walivyokwepa msala uliokuwa unawasubiri...Upuuzi wa Yanga usije kuufananisha club iliyosheheni Wasomi kama club ya Simba..
Wamekaa siti za mbele... hahahaChama na mkude wanapajua vizuri huko bila shaka ndio wamekaa na dereva wanamuelekeza
Kwa kweli ni uhuni kila sehemu.Mara ngapi tumesema humu viongozi wa Yanga ni wahuni. Na muhuni hana muda wa kutumia akili.
Richmondnani huyo alibebwa,akawasaliti wenzie na ilikuwaje mkuu?
Mngewaruhusu kufanya mazoezi halafu ndo useme na huu upuuzi ulioandika hapa...Na ni wasomi kwelikweli hebu angalia jinsi walivyokwepa msala uliokuwa unawasubiri...
Mtemblee mgoni wako uone nini kitatokea kama issue ni free movementmpira sio vita,kwamba wamekatiana mipaka kuwa ukivuka basi unaliwa kichwa. Mkuu,kila mtu ana free movement,na maendeo hayo ni sehem tu ya matembezi yao, kwa maana wana uhuru na haki ya kutembea, zinduka
Ulitaka uwanja uwe na lamiMbona uwanja ni kama kichaka vile...
ugoni na mpira wapi na wapi mkuu?Mtemblee mgoni wako uone nini kitatokea kama issue ni free movement
Ulitaka uwanja uwe na lami
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. [emoji706][emoji1787] bado tunampenda my wetu tumehamu kumdusua maana alikuwa anapiga sana kelele mara masindano fc, mara hongahonga fc, haribu ligi fc walisema mengi ajabu kumbe hata kutuface hataki!.
we only need just one kiss from her!.. [emoji16]