Video yaonesha kabla ya kifo cha mwandishi wa habari Abu Akleh hakukuwa na majibizano ya risasi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Video mpya imesambaa ikionesha hakukuwa na mashambuliano yoyoye wakati mwandishi wa habari Abu Akleh anauawa kwa risasi, kama ilivyoelezwa awali kuwa aliuawa wakati wa mashambulizi baina ya pande mbili

Video hiyo inamuonesha mwanahabari huyo wa Al Jazeera akiwa katika hali ya utulivu na wenzake kadhaa, Mei 11, 2022 ndipo ghafla wakashambuliwa na risasi kadhaa kutoka kwa Wanajeshi wa Israeli.

Video hiyo imethibitishwa na Al Jazeera ambao wameiweka katika mitandao yaona kuonesha hakukuwa na mapigano kati ya Jeshi la Israel na Wapalestina

Source: Aljazeera

===
New video shows no fighting before journalist Abu Akleh’s killing

A ne New video shows no fighting before journalist Abu Akleh’s killingw video that begins moments before Al Jazeera journalist Shireen Abu Akleh was killed has emerged showing relative calm and quiet, contrary to claims by Israeli officials that fighting was taking place in the area.

Abu Akleh, 51, was killed by an Israeli soldier on May 11, according to colleagues and witnesses who were present at the scene, while covering a military raid by Israeli forces in the occupied West Bank city of Jenin.

The clip, which was verified by Al Jazeera, shows initial quiet with no sounds of fighting, corroborating witness reports that there were no clashes between Israeli forces and Palestinian fighters at the time of the shooting, as the Israelis have suggested.

Some people are seen to be talking and laughing in the foreground, with people in the background, including Abu Akleh and some of her colleagues wearing blue press flak jackets, also visible.

Abu Akleh and the other journalists are walking in the direction of where Israeli forces were located, before gunfire shots start ringing out.

Once the shooting starts, people in the foreground start running away from where the Israeli forces were positioned. Abu Akleh can be seen lying in the street after being shot.

A Palestinian-US citizen, Abu Akleh’s killing by Israeli forces has led to global outrage and widespread calls for an independent investigation.
 
Hapo US Yuko kimya kwasababu ni swahiba wake anafanya hayo!
Pia Israel wamesema hawatafanya uchunguzi wowote juu ya kifo Cha mwandishi huyo!
Palestine ndo wamekataa kata kata, Israel walikuwa tayari na walitoa taarifa kabisa kwamba wako tayari kushirikiana na Palestine kufanya uchunguzi, Palestina ikakataa kabisa.
 
Hutosikia Baraza la UN wala nini Ila angepigiwa Ukraine, maneno sasa Mrusi mkatili, muisraeli kimya hata Papa huwezi kusikia akilisemea!

Unafiki ni dhambi kuu ya hawa jamaa! Double standards
 
Video mpya imesambaa ikionesha hakukuwa na mashambuliano yoyoye wakati mwandishi wa habari Abu Akleh anauawa kwa risasi, kama ilivyoelezwa awali kuwa aliuawa wakati wa mashambulizi baina ya pande mbili

Video hiyo inamuonesha mwanahabari huyo wa Al Jazeera akiwa katika hali ya utulivu na wenzake kadhaa, Mei 11, 2022 ndipo ghafla wakashambuliwa na risasi kadhaa kutoka kwa Wanajeshi wa Israeli.

Video hiyo imethibitishwa na Al Jazeera ambao wameiweka katika mitandao yaona kuonesha hakukuwa na mapigano kati ya Jeshi la Israel na Wapalestina

Source: Aljazeera

===
New video shows no fighting before journalist Abu Akleh’s killing

A ne New video shows no fighting before journalist Abu Akleh’s killingw video that begins moments before Al Jazeera journalist Shireen Abu Akleh was killed has emerged showing relative calm and quiet, contrary to claims by Israeli officials that fighting was taking place in the area.

Abu Akleh, 51, was killed by an Israeli soldier on May 11, according to colleagues and witnesses who were present at the scene, while covering a military raid by Israeli forces in the occupied West Bank city of Jenin.

The clip, which was verified by Al Jazeera, shows initial quiet with no sounds of fighting, corroborating witness reports that there were no clashes between Israeli forces and Palestinian fighters at the time of the shooting, as the Israelis have suggested.

Some people are seen to be talking and laughing in the foreground, with people in the background, including Abu Akleh and some of her colleagues wearing blue press flak jackets, also visible.

Abu Akleh and the other journalists are walking in the direction of where Israeli forces were located, before gunfire shots start ringing out.

Once the shooting starts, people in the foreground start running away from where the Israeli forces were positioned. Abu Akleh can be seen lying in the street after being shot.

A Palestinian-US citizen, Abu Akleh’s killing by Israeli forces has led to global outrage and widespread calls for an independent investigation.
Itakuwa alikuwa spy, mwenye koti la uandishi habari. "Huwezi ukawa msaliti, halafu ukaachwa una survive tu" alisikika mzee mmoja akisema. Anyways, wana wa yakobo huwa hawafanyi vitu kwa kurupuka.
 
Huyo alikuwa spy akatua mikononi mwa mosad
Hata angekuwa Spy,hakustahili kuuwawa!Unajua ameuwawa Jenin,ardhi ya Palestine?Hilo eneo hata hao Israel hawakupaswa kuwepo ila walienda kibabe!Ni kama Kenya waingie Kilimanjaro na jeshi lao halafu wamuue mwandishi wa Tanzania aliyeko Kilimanjaro!
Sasa hata kama ni Spy,si Yuko nchini kwake?
 
Ardhi ya Israel inaanzia misri hadi jordan yote na kusini jangwa la arabia mpaka golan heights kama Mungu alivyompatia Abraham. Ukiwa sehemu yoyote maeneo hayo Mosad watakushughulikia ukiwa msaliti.

Hata ukiwa Tehran au Beijing au Moscow au London au Washington DC, ukiwa spy against Israel lazima wakushughulikie.
 
Itakuwa alikuwa spy, mwenye koti la uandishi habari. "Huwezi ukawa msaliti, halafu ukaachwa una survive tu" alisikika mzee mmoja akisema. Anyways, wana wa yakobo huwa hawafanyi vitu kwa kurupuka.
Huyo ni mwandishi wa Aljazeera Kwa zaidi ya miaka 20 na ofisi yake Iko Palestina yeye anaishi Palestina!Sehemu aliyouwawa ni Jenin,ardhi ya Palestina!Israel hakupaswa kuwa pale,alivamia tu ndio huyo dada akatoka ofisini kwenda kureport tukio hilo!
Sasa hata kama ni Spy,si Yuko nchini kwake?Na ana spy Nini wakati ana camera na anaruka live kutoka site kiasi kwamba matukio anayoyaona ndiyo anareport Kwa umma?
Hivi hata logic ya spy unaielewa kweli?
 
Ardhi ya Israel inaanzia misri hadi jordan yote na kusini jangwa la arabia mpaka golan heights kama Mungu alivyompatia Abraham. Ukiwa sehemu yoyote maeneo hayo Mosad watakushughulikia ukiwa msaliti.

Hata ukiwa Tehran au Beijing au Moscow au London au Washington DC, ukiwa spy against Israel lazima wakushughulikie.
Sasa unaspy nini wakati hauko nchini kwao?Au huelewi hata maana ya Spy?Huwezi ukawa Tanzania halafu wewe ni mtanzania halafu ukawa unafanya uspy dhidi ya Kenya!Get your facts straight!
Maana ya Spy:
a person employed by a government or other organization to secretly obtain information on an enemy or competitor.

Msingi wa Spy ni kwamba unakuwa within taasisi au serikali Ili kuchota taarifa!
 
Ukikusanya taarifa nchi moja na ukaenda kuzipeleka nchini kwako unakuwa sio spy kwasababu muda huo haupo kwenye ile nchi?
 
Ardhi ya Israel inaanzia misri hadi jordan yote na kusini jangwa la arabia mpaka golan heights kama Mungu alivyompatia Abraham. Ukiwa sehemu yoyote maeneo hayo Mosad watakushughulikia ukiwa msaliti.

Hata ukiwa Tehran au Beijing au Moscow au London au Washington DC, ukiwa spy against Israel lazima wakushughulikie.
Mungu gani huyo?.Si Mungu wa Israel?.kwa mujibu wa mila zao lakini sio Mungu wa kila mtu.Kwa hiyo Wangoni wafukuzwe Tanzania sababu kule Namtumbo sio kwao warudi Kwazulu Natal?
 
Back
Top Bottom