Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Hujui chochote kuhusu biblia wewe.Biblia sio legal document,ubabe na busara za UN ndio zimewapa hifadhi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui chochote kuhusu biblia wewe.Biblia sio legal document,ubabe na busara za UN ndio zimewapa hifadhi!
Wewe jikite aljazeera.Nipe link ya hiyo Taarifa kuwa Mossad wamesema alikuwa Spy!
Asante, nawe pia.Basi Kwa comment hii nimeshaelewa najenga hoja na mtu wa namna gani!
Uwe na usiku mwema!
Wapalestina ndio wa israel wa Zamani kama Hufahamu Shahidi zote za kisayansi za Dna za zamani za mabaki ya wa Israel wa zamani zinaonesha zinafanana na wapalestina wa sasa.Sasa kesi itoke wapi wakati hao wavamizi wanalazimisha kukaa kwenye ardhi ya Abraham baba yao Israel?
Uko sahihi Mkuu!Mungu gani huyo?.Si Mungu wa Israel?.kwa mujibu wa mila zao lakini sio Mungu wa kila mtu.Kwa hiyo Wangoni wafukuzwe Tanzania sababu kule Namtumbo sio kwao warudi Kwazulu Natal?
Wafuasi wa mudi mna matatizo sana. Kwahiyo mabaki ya maandiko ya wayahudi ndio hayo yapo kwenye quran? Weka ushahidi hapa tuuone.Wapalestina ndio wa israel wa Zamani kama Hufahamu Shahidi zote za kisayansi za Dna za zamani za mabaki ya wa Israel wa zamani zinaonesha zinafanana na wapalestina wa sasa.
Na huyu Bibie aliekufa ni Mkristo Mzuri tu, ni Ajabu kuona wakristo wanafurahia Mkristo mwenzao kufa sababu tu kauliwa na Israeli.
Kesho wakija kuua wazazi wako ama watoto wako utapiga kabisa na Mziki kusheherekea?
Israel sijui wana akili gani,hivi yule mwandishi walimuua kwa sababu ipi hasa?
Sawa naona hata wale watoto wa Congo wanaouliwa kila siku na Ma zionist na Kuchimbishwa madini Yenye Kemikali ni ma Spy.Wafuasi wa mudi mna matatizo sana. Kwahiyo mabaki ya maandiko ya wayahudi ndio hayo yapo kwenye quran? Weka ushahidi hapa tuuone.
Mtu wa dini yoyote akiwa spy against Israel lazima mosad wampe salamu. Mimi sifurahii kifo cha mtu yoyote.
Wana roho ya kikatili sana hawa jamaaAmekuwa akiwakera Kwa muda mrefu sana maana Huwa anaenda kureport matukio ya uvamizi wa Israel ndani ya makazi ya wapalestina!
Wajinga hao,kama ni spy si wangemkamata siku nyingi mbona anaishi hapo mda mrefu,labda tuseme alikuwa anaanika uvamizi wao ndio wakawa hawampendi yeye na Aljazeera kwa ujumlaKuna uvumi eti alikuwa spy.