Video za nyimbo 10 bora za wakati wote zilizoweza kufikisha ujumbe kama ilivyokusudiwa

Next time anza na the last to the first inaleta mshawasha zaidi wakati ukifuatilia.
 
1.Lie about Us -Avant.

2.I just Wonder -Neyo.

3.Mama Ntilie -Ray C ft Jerry

4.Anita - Matonya ft Jide

5.Inama - Fally Ipupa ft Diamond.

6.Love potion - Mafikizolo.

7 .Chery oh - UB 40

8.Irreplaceable - Beyonce

9.cheza -chibwa

10.Uzuri wako -Jux
 
Kama kuna uchafu siupendi ni hiyo "Gauo"
Hata nikiisikia redioni nitazima kabisa redio ili hali ya hewa itulie.

Nadhani wewe upo clouds FM maana ndo miziki yenu
 
jcb kaa mbali na kamba
 
LWP-mke wa mtu ni sumu&
-Wanaokwenda Jela
Mtunzi LWP amejitahidi kuihasa jamii kuingilia ndoa za watu mtunzi amepeleka ujumbe kwa wanaume kuwataka kuheshimu wake za watu...mwimbaji amefafanua zaidi kwa kusema yeye amahangaika kumpata mke wake wa ndoa kamtoa kjijini kamleta mjini..kampendezesha ila wewe unakuja kumlaghai mke wa mtu ili utoke nae..msanii amwewaonya wenye tabia hiyo kuacha kwani huwezi jua litakalokupata kwani waweza KOJOA DAGAA
Tukija ktk wimbo wa WANAOKWENDA JELA..kundi la mziki la LWP wakimshirikisha msanii HARUNA KAHENA (Inspector Harun)wamesisitiza kuwa siyo wote wafungwao jela wanamakosa wapo wengine wamesingiziwa napia wapo wenye makosa tena makubwa lakini hawajafungwa..hata leo hii tuanaona huko mtaani watu wanabambikiwa kesi na wanafungwa au kuwekwa rumande kwa muda mrefu..
 
boss by ferous
its not easy by dube
this time by john legend
sacrifice by sir elton john
 
Ay-yule
Hii nyimbo na video yake viliendana sana kwa sana.
Hii ni nyimbo ya kwanza ya malavidavi kuikubali kutoka moyoni....nilikuwa bado barobaro lakini ilinibamba sana mazee.
Wagosi wa kaya-kunani Tanga.
Suma G-uswahilini kuna vituko.
Q-chief- baba.
K-sal- mkiwa.
Chamilion jose-jamila.
Jay-zali la mentali.
Jay-nikusaidiaje.
Mwana fa-alikufa kwa ngoma.
Solid ground family-bush taty.
Mr blu-blue blue.
Gk-sauti ya manka.
Maher zain-subhanallah
Yusuf abdi&brother nasri-mama.
 
11. Msaliti by christian bella
12.Ngongingo
13. Tuma na ya kutolea
Nimejikuta nacheka kwa sauti mpaka waliokuwa karibu yangu wamebaki wanajiuliza kulikoni.

Dah,Dunia ina mambo.aliimba AFANDE SELE
 
Kiufupi,hakuna saresare,ukiwa kichomi unampata mke mwema,ukiwa mwema unapata kichomi.

Ndo maisha yalivo,ikitokea kuwa saresare basi 5/%.

Mengi yako chini ya Dari.wapangaji ndo tunajua angarau 40% ya maisha ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…