Video za nyimbo 10 bora za wakati wote zilizoweza kufikisha ujumbe kama ilivyokusudiwa

Hivi BINADAMU WABAYA Ina video? sijawahi kuiona na nilitamani Sana kuiona Kama ipo au umeiona nisaidie nipate kuiona mkuu!
 
List yako imebalansi vema sana. Na hicho ndo nilichokuwa impressed nacho. Umepiga kote kote kwa uhalisia wake. Hongera.
Andaa ingine urudi tena
 
List yako imebalansi vema sana. Na hicho ndo nilichokuwa impressed nacho. Umepiga kote kote kwa uhalisia wake. Hongera.
Andaa ingine urudi tena
Mimi ni wale watu wanapenda muziki mzuri mkuu bila kujali upo ktk mahadhi gani

naonekana wa ajabu sometimes,nashangaza watu ila ndio jinsi nilivyo maana kuna

nyimbo nyingi nzuri taarabu,singeli,raggae,dini,nk kote huko kuna nyimbo nzuri sana

siwezi acha sikiliza singeli kama imenigusa ujumbe wake,siwezi acha sikiliza taarabu

kama umenigusa ujumbe wake,playlist yangu ni ngumu sana mtu wa kawaida kuielewa.
 
Hiyo ya kwanza ni 100% waliimba kila kitu wakamaliza.
Mwingine Bob Ludala- Nimekuchagua wewe, huyu baba aliimba kila kitu kwenye huu wimbo.
 
"The Message" wa Grandmaster Flash and The Furious Five umeelezea matatizo ya maisha ya watu wa hali ya chini Marekani, hususan sehemu za ghetto mijini kama South Bronx, New York, vizuri sana.

Mpaka umewekwa kwenye maktaba ya Bunge la Marekani kama moja ya vielelezo bora kabisa vya sanaa na maisha Marekani.

 

Mzuri sana huu
 
Nyimbo zangu bora kabisa

Historia by lady jay dee naipenda sana

Lala salama by diamond

Barua by daz nunda

Elimu dunia by daz nunda

Money money by 20%

Kwanini by diamond

Kidela by kiba

It's not easy by Lucky

Wait for me by John driel

Nayaonea huruma maisha yako by keisha
 
20 percent-maisha ya bongo
Tundaman ft chid benz-neila
Diamond ft chid benz-nalia na mengi
Mario-just a friend
Nasty c-Said
Nasty c-Mrs me
Catholic -navumilia tu
Ambassador of church-mtegemee Yesu
Maher zain-Thanks you Allah(Alhamdullilah)
Wizkid -final*
Clean bandit rockabye*hzi mbili zinantoaga machoz sijuh kwann
 
Spack - ombi langu nimemuelewa sana hapo
 
1)celine dion- Mama
2)sarafina -siyerere mama
3)Namcebo -xola moya wami
4)Nelly - dillema
5)bob Marley no woman no cry
6)jux - unaniweza
7)simi- duduke
8)Michael jackson- i need u
9)whitney houston- i will always love u
10)we are the world,- american stars
11)The storm is over- Rkelly
 
1. Ambassador of Christ - Upendo

2. Paul_Clement_&Joel_Lwaga(Mungu_Hawezi_Kukuacha)_Live_CCC_Upanga_Tanzania.

3. Arise Africa - Jamican singers

4. Michael Jackson - Heal the World

5. Mrisho mpoto - Mtu huru

6. Ben Paul - Maneno

7. Kina - Can we kiss forever

8. Wizkid - Fever

9. Sonnie Badu Ft Jonathan Nelson - Baba

10. Harmonize - Vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…