Video za uokozi maafa ya kariakoo

Video za uokozi maafa ya kariakoo

vyombo vya ulinzi na usalama, kamati ya maafa ya kitaifa na wananchi wa eneo la kariokoo, wanaendelea kufanya kazi nzuri na kwa weledi mkubwa licha ya ugumu na hatari ya kazi yenyewe ya uokoaji.

Mwenyezi Mungu afanye wepesi zaidi 🐒
Hawa Ni Baadhi Ya Rafiki Zetu Waliotangulia Mbele Ya Haki Kwenye Ajali Ya Kuporomoka Kwa Ghorofa Leo Asubuhi.
"Kwaherini Wanetu Tunaonana Tena Baadae🙏💔🕊
20241117_062250.jpg
 
Yes,
Maelekezo ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa kamati ya maafa ya kitaifa na mkoa yamechochea kwa kiasi kikubwa shughuli ya uokozi.

Mh.Rais aliamrisha na kuelekeza kwamba, vyombo vyote vya ulinzi na usalama pamoja na wataalamu wao vilekee eneo la tukio.

Nadhani sote ni mashuhuda wa kazi nzuri iliyofanywa kwa amri ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan.

Tunamtakia safari njema nasi kama taifa tutaendelea kutekeleza maelekezo yake na kuhakikisha wale wote walioko chini ya kifusi, kwa Neema na Baraka za Mungu, wanapatikana wakiwa hai 🐒
 
Hawa Ni Baadhi Ya Rafiki Zetu Waliotangulia Mbele Ya Haki Kwenye Ajali Ya Kuporomoka Kwa Ghorofa Leo Asubuhi.
"Kwaherini Wanetu Tunaonana Tena Baadae🙏💔🕊View attachment 3154122
Mwenyezi Mungu awaweke pale wanapostahili vijana hawa wenzetu waliothibitika kuaga dunia.

Rest In Peace peace, my friends, ladies and gentlemen🥀 🤭
 
Back
Top Bottom