John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
"Wherever you see Black people you see problems, been Black itself alone is the problem."Tungemlaumu vilevile kwa selikari yake kuto zingatia sheria ya ujenzi na kusababisha ghorofa kuanguka,sisi watanzania tumelogwa siyo bure yaani ni ujiunga ujinga tu wa kusifia
Gentleman,Hivi unataka nini??? Pumbavu kabisa!
mihemko ni nonsense kwenye maafa gentleman,Nenda pale kwenye uokozi ulete huo uchawa wako, hakyanani unaliwa mande kijana, nyie toeni pongezi humuhumu na kwenye mikutano yenu ile ya kipigaji ama lah jihakikishie ulinzi kabla hujaropoka uharo.
nifikishie salamu nyingi sana Singida, Arusha na ufipa -Dar, waambie wangwana nawasalimu sana, licha ya kwamba tupo kwenye majonzi ya maafa ya kariakoo 🐒Sawa wasalimie huko Sao Paulo na Acapulco bay.
Sasa gentleman mwenye akili za parachichi, mbona una mihemko tu na huna pwainti wala huna habari na maafa ya wangwana huko kariakoo 🐒Una akili za fenesi au maji ya nazi?
Umeelewa ulichoquote hapo?
Gentleman,Onyesha busara zako kwa kuficha upumbavu wako, angekuwa aliekufa ni Mohamed Mchengerwa unadhani Samia angesafiri?
Ila kwakuwa maisha ya watanzania wapambanaji sio muhimu kwake ndio maana anaweza kuondoka huku akiacha nyumba yake inateketea.
Waliopo karibu na raisi hawamsaidii hata kidogo, ni kitu kidogo sana, ni kumwambia ukweli kuwa si jambo la busara kuondoka huku watanzania wenzake wamekwama kwenye kifusi na wanapambania maisha yao.
Hata huku mtaani huwa tunaomba ruhusa kazini pale mwenzetu anapopatwa na msiba ili tukashiriki pamoja nae na ndio utanzania ulivyo.
Sote njia yetu ni moja, hakuna haja ya kubaguana.
muerevu mbona umefura na kujaa mihemko ambayo ni nonsense?Wewe jamaa unaakili kweli?
Utakuwa unahomoni imbalance .
Samahani kwa maneno makali. Ila unaupuuzi mwingi