Video za uokozi maafa ya kariakoo

Video za uokozi maafa ya kariakoo

Tungemlaumu vilevile kwa selikari yake kuto zingatia sheria ya ujenzi na kusababisha ghorofa kuanguka,sisi watanzania tumelogwa siyo bure yaani ni ujiunga ujinga tu wa kusifia
"Wherever you see Black people you see problems, been Black itself alone is the problem."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Nenda pale kwenye uokozi ulete huo uchawa wako, hakyanani unaliwa mande kijana, nyie toeni pongezi humuhumu na kwenye mikutano yenu ile ya kipigaji ama lah jihakikishie ulinzi kabla hujaropoka uharo.
mihemko ni nonsense kwenye maafa gentleman,

kuporomosha matusi kwenye maafa ni ushirikina ambao completely ni useless kabisa 🐒
 
Onyesha busara zako kwa kuficha upumbavu wako, angekuwa aliekufa ni Mohamed Mchengerwa unadhani Samia angesafiri?

Ila kwakuwa maisha ya watanzania wapambanaji sio muhimu kwake ndio maana anaweza kuondoka huku akiacha nyumba yake inateketea.

Waliopo karibu na raisi hawamsaidii hata kidogo, ni kitu kidogo sana, ni kumwambia ukweli kuwa si jambo la busara kuondoka huku watanzania wenzake wamekwama kwenye kifusi na wanapambania maisha yao.

Hata huku mtaani huwa tunaomba ruhusa kazini pale mwenzetu anapopatwa na msiba ili tukashiriki pamoja nae na ndio utanzania ulivyo.

Sote njia yetu ni moja, hakuna haja ya kubaguana.
Gentleman,
ni muhimu zaidi ungesitiri mihemko na ghadhabu zako ambazo ni completely nonsense na useless...

Kilicho muhimu zaidi kama taifa, ni kupuuzia upotoshaji kama ambao unajaribu kuufanya.

Kama nchi,
Tunapaswa kumshukuru Mungu, kutupatia kiongozi madhubuti Dr. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni kipenz cha waTanzania wote, kwa kuamrishi na kuelekeza kamati ya maafa Kitaifa, chini ya Waziri mkuu Kasimu Majaliwa, kutumia wataalamu wote na vyombo vya ulinzi na usalama, katika zoezi la kuwaokoa wananchi walionasa katika vifusi vya jengo lililoporomoka Kariakoo..

Aidha,
Kama taifa,
Licha ya changamoto, kasoro na dosari mbalimbali mtambuka nchini, mambo mengine lazima yaendelee kwa maslahi mapana ya Taifa whether you like or not.

Mwisho japokua si kwa umuhimu.
Unafiki ni kipaji ingawa ni utumwa wa kizembe 🐒
 
Wewe jamaa unaakili kweli?
Utakuwa unahomoni imbalance .
Samahani kwa maneno makali. Ila unaupuuzi mwingi
muerevu mbona umefura na kujaa mihemko ambayo ni nonsense?

no gentleman,
be Free tu kwasabb binafsi, siwezi kubabaika na ghadhabu za mtu awaye yote, hususani kwenye platform hili huru, muhimu na ya heshima, lililosheheni wadau tena first class brain wanaoelewa ukweli wa mambo haya na wasio wanafiki kama ambavyo unajaribu kufanya...

Hata hivyo,
Ni muhimu sana maombi na sala zetu tukazielekeza kwa wahanga wa poromoko la jengo kariakoo na kuwaombea waliokwama kwenye kifusi waweze kuokolewa salama 🐒
 
IMG_0256.jpeg
 
SMS YA HAMZA

"Brother nakufa, nahema kwa tabu, vumbi ni zito. Giza limetanda. Sioni chochote mbele yangu."

Anasema:

".....simu yangu Ina asilimia 6 tu, muda wowote itazima chaji. Nimebanwa na kifusi huku chini kaka, naomba ufanye kitu, sitaki kufa, kaka. Naogopa sana.
 
Back
Top Bottom