Video za uokozi maafa ya kariakoo

Video za uokozi maafa ya kariakoo

Taharuki uchwara vipi wakati Mama yenu kaingia mitini, ingekuwa Abdul yupo kwenye kifusi angepanda Ndege kwenda Brazil.
Relax na ueleze mambo yenye maana na sio kueleza mihemko na ghadhab zako nonsense wakati kazi kubwa ya uokoaji kwa wangwana walionasa kwenye vifusi inaendelea kwa umakini na weledi wa kiwango cha juu zaidi 🐒
 
kwa Neema na Baraka za Mungu maelekezo ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan ambae anaongoza serikali ya wanadamu kutoka kwa Mungu, yaendelee kutekelezwa na kuzaa matunda kadiri ya mapenzi ya Mungu mwenyewe.

hakuna haja kubabaika gentleman :pulpTRAVOLTA:
Watu tuna machungu, mnaleta ujinga na uhayawani wenu. Angekuwa ndugu yako yuko kwenye kifusi muda huu, ungeyaongea haya? Jitu zima kutafuta sifa za kingese. Unakatwa kila unapopumua
 
Achana na Wapumbavuuu haooo,wanakeraaa sana.
Wamezidi, ni bibadamu wa aina gani hawa? Hata kama hajulikani, yuko kwenye mtandao, aheshimu roho zilizotangulia, walio kwenye kifusi. Anawaza kusifia mtu ujinga, badala ya kuwawazia hao. Hawa ni mashetani, inaniuma watu wanakufa huko wanajiona. Mtu anasifia hapa huu ni wakati wake? Nimekuelewa Nzagambaaa 🤝
 
Gentleman,
kama kuna matukio na majanga yanahitaji umakini wa kiwango cha juu zaidi duniani katika uokoaji, basi ni pamoja na yanayofanana na hili la kariakoo..


kwani unahitaji kifaa gani hapo kwa mfano, gentleman?🐒
Wewe jamaa unaakili kweli?
Utakuwa unahomoni imbalance .
Samahani kwa maneno makali. Ila unaupuuzi mwingi
 
Binafsi siridhiki kabisa na namna serikali yetu inavowajibika kwenye mambo ya dhararu.

Wananchi ndo waokoaji lakin vyombo rasm vya uokozi havina msaada.

Mara nyingi wamekuwa ni watu wasiokuwa tayari na haya matukio ili Hali yanajitokeza Kila siku.

Hawana mipango thabiti kwenye haya majanga ya dharura.

Ifike wakati wananchi tujipambanie wenyewe mpaka tone la mwisho.

Hakuna haja yakusubiria vyombo vya serikali pale panapotekea majanga.

Kufanya hivo ni kuendelea kuangamiza wenzetu au kujiangamiza.

Kingine, wananchi tuwe na huruma sisi Kwa sisi, tuache uonevu baina yetu, tuache roho ngumu.

Tujali nafsi zetu na zawengine pia, kwetu serikali iwe ya ziada lakin nguvu zetu kwenye majanga ya ukoaji yawe ni namba Moja.

Najua itakuwa ningum Kwakuwa hatuna vifaa lakin Kwa akili na uwezo tutakaopewa na mungu Kwa mda huo tunaweza kufanya jambo.

Pia tujifunze kuzuia au kuzungumza mambo yenye hatari mapema, watanzania wengi kinachotuumiza ni uoga.

Haya mengine tuna uwezo wakuyazuia kabla hayajatokea kama tutakuwa majasiri na wenye kuchukua hatua.

Kuanzia Leo unapotoka nyumban weka Nia yakuilinda nafsi yako na yamtu mwingine popote pale utakapoona anaonewa au anahitaji msaada.
 
Back
Top Bottom