Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Hii imemkuta jamaa yangu wa karibu.
Iko hivi:
Jamaa yangu anaishi na mkewe na wamebahatika kupata watoto watatu. Ndoa yao ni tulivu sana.
Kifupi wanapendana na kuheshimiana (kwa mtazamo wangu na maisha yao ya nje yanavyoonekana).
Mwanaume ana rafiki yake wa kiume. Familia inatambua urafiki wao vizuri. Huyu rafiki ana rafiki mwingine wa kiume.
Yaani tuseme hivi Lihakanga nina mke. Nina rafiki wa kiume tumwite Bico. Bico naye ana jamaa yake anaitwa Lituye.
Bico anaazima simu ya Lituye aitumie kwa masuala ya kubeti. Wakati Bico anabeti, Lihakanga anatokea, wakati Lituye hayupo.
Bico amemaliza kubeti, akaanza kupitapita kwenye files za simu ya Lituye. Anaingia kwenye videos. Kuna video ya utupu ya mwanamke ananengua na kujichezea sehemu zake za siri. Lihakanga anagundua kuwa zile ni sehemu za siri za mkewe.
Kwa kujikaza anashika simu aangalie vizuri. Bico hana habari, kumbe Lihakanga anataka aangalie imefikaje.
Anagundua imetumwa na mkewe tena kwa namba ya simu ya mkewe ingawa Lituye hajaisave ile namba.
Lihakanga amei forward kwenye simu yake na kufuta ili isijulikane kama amei forward.
Lihakanga anataka kuliamsha.
Aanzie wapi? Msaada tafadhali.
Naomba tuwe serious kumshauri.