Video za utupu wa mwanandoa zakutwa kwa mwanaume mwingine

Video za utupu wa mwanandoa zakutwa kwa mwanaume mwingine

Hii imemkuta jamaa yangu wa karibu.

Iko hivi:
Jamaa yangu anaishi na mkewe na wamebahatika kupata watoto watatu. Ndoa yao ni tulivu sana. Kifupi wanapendana na kuheshimiana (kwa mtazamo wangu na maisha yao ya nje yanavyoonekana).

Mwanaume ana rafiki yake wa kiume. Familia inatambua urafiki wao vizuri. Huyu rafiki ana rafiki mwingine wa
Simu siyo yake

Alipekenyua nini
 
Mchawi ni mkewe, asiuze kesi kwa mwingine.
Yaani mke kavua jeans
kavua tight
kavua chupi
kachukua simu
kaenda kwenye camera
katanua kati
kapiga picha
kaenda kwenye share
kachagua jina la jamaa
kabofya
kahakiki..
mzigo ukaenda....
lawama apewe nani?

Kuna nyakati inabidi tuwalaumu wenye makosa yao...mke katanua kabisa kitobo hichooo, dadeq zake!
 
Kama picha zinaonyesha mkewe anajua kuukalia, basi nashauri mwana asimuache mkewe maana anajua kukazana na mjegejo...😋
 
Mchawi ni mkewe, asiuze kesi kwa mwingine.
Yaani mke kavua jeans
kavua tight
kavua chupi
kachukua simu
kaenda kwenye camera
katanua kati
kapiga picha
kaenda kwenye share
kachagua jina la jamaa
kabofya
kahakiki..
mzigo ukaenda....
lawama apewe nani?

Kuna nyakati inabidi tuwalaumu wenye makosa yao...mke katanua kabisa kitobo hichooo, dadeq zake!
Aina hii ya mtiririko wa fikra ndio huwaumiza wanaume wengi, maana sisi ni wabinafsi sana kwenye hicho kitobo..🤣
 
Mimi ningeona hivyo kwanza kichwa kingepata moto balaa hivyo step ya kwanza ingekua ni kupiga puchu kwa kutumia hiyo hiyo video.

Kisha ndiyo nimvagae wife na kumhoji iweje atume video kwa Lituye au kwakua yeye peke yake mtaa mzima ndiyo ana iphone.
 
Hii ninaichukua moja kwa moja namshauri jamaa yangu. Tena sahizi, muda huu. Asante sana.
Yuko jamaa yangu gentleman kupindukia, alimfumania mke wake wa watoto wanne hotelini akinyanduliwa na mshikaji wake wa karibu Tena home boy. Kanda maarum wanaita poti.
Jamaa baada ya kugonga mlango na kufunguliwa na kuhakikisha wamemuona alitangulia nyumbani. Hakumuuliza mkewe Wala Nini maana hakutaka watoto wajue Kama mama yao Hana akili.
Kilichotokea yule mwanamke aliishi Maisha magumu sana Hadi alipofariki. Sio Maisha magumu ya kula dagaa, no. Pesa na kazi alikua navyo Ila Ile hali ya jamaa kutomuuliza na kutomuomba tendo la ndoa.
Bedroom moja kila mtu kitanda chake.
 
Hii imemkuta jamaa yangu wa karibu.

Iko hivi:
Jamaa yangu anaishi na mkewe na wamebahatika kupata watoto watatu. Ndoa yao ni tulivu sana. Kifupi wanapendana na kuheshimiana (kwa mtazamo wangu na maisha yao ya nje yanavyoonekana).

Mwanaume ana rafiki yake wa kiume. Familia inatambua urafiki wao vizuri. Huyu rafiki ana rafiki mwingine wa kiume. Yaani tuseme hivi Lihakanga nina mke. Nina rafiki wa kiume tumwite Bico. Bico naye ana jamaa yake anaitwa Lituye.

Bico anaazima simu ya Lituye aitumie kwa masuala ya kubeti. Wakati Bico anabeti, Lihakanga anatokea, wakati Lituye hayupo.

Bico amemaliza kubeti, akaanza kupitapita kwenye files za simu ya Lituye. Anaingia kwenye videos. Kuna video ya utupu ya mwanamke ananengua na kujichezea sehemu zake za siri. Lihakanga anagundua kuwa zile ni sehemu za siri za mkewe.

Kwa kujikaza anashika simu aangalie vizuri. Bico hana habari, kumbe Lihakanga anataka aangalie imefikaje. Anagundua imetumwa na mkewe tena kwa namba ya simu ya mkewe ingawa Lituye hajaisave ile namba.

Lihakanga amei forward kwenye simu yake na kufuta ili isijulikane kama amei forward.
Lihakanga anataka kuliamsha. Aanzie wapi? Msaada tafadhali.
Naomba tuwe serious kumshauri.
Vijana punguzeni kupoteza muda kwenye vitu vya kijinga eti kuazima simu ili kubet
 
Back
Top Bottom