Video za utupu wa mwanandoa zakutwa kwa mwanaume mwingine

Video za utupu wa mwanandoa zakutwa kwa mwanaume mwingine

Hapo ni ajue tu ameamuaje?

Ataamua kusamehe au ndo imetoka.

Sio mambo ya kuumizana.
 
Haiwezi kuwa ni coincidence huo ni mchongo askari kidole si bure.anyway apambane tuu kwa style yake hakuna jinsi wala suruali ya kitambaa.
 
Aache kiherehere kuangalia simu za watu.

Aanzie wapi?
Ajipeleke polisi kwa kuingilia mawasiliano ya watu pasipo ridhaa.

Shubhamit!.
Si kusudi lake wala halikuwa lengo lake kuingilia mawasiliano ya watu.
 
Aanzie kwa mkewe!!!!!

Si ndiye aliyetuma?
Hamjui kuna wake zenu hujitongozesha kwa kutuma picha???????
 
Nilichokuja kufahamu; hofu ya Mungu pekee ndiyo kitu Cha muhimu katika huu ulimwengu.

  • Usipokuwa na hofu ya Mungu, utafanya mambo ya hovyo hovyo kama yule bwana Zero.
  • Usipokuwa na hofu ya Mungu utabaka watoto wadogo utafungwa jela, Kisha baadae utajishangaa na kujilaumu.
  • Usipokuwa na hofu ya Mungu, hutaheshimu ndoa yako na ndoa za watu.
  • Usipokuwa na hofu ya Mungu utakula na kunywa vakula vitakavyokupunguzia utimamu wa akili au kuuchakaza mwili au kuugua magonjwa yanayoepukika.

Zaburi 119:105
[105]Neno lako ni taa ya miguu yangu,
Na mwanga wa njia yangu.
 
anataka aamshe ili agundue nini??

kama ana moyo wa kiume mwambie amforwadie mkewe kisha akaushe.
ajabu mwanaume huyu utashangaa yuko analia huko,na kupiga yeye magoti.
Hiyo ndiyo inaitwa heavy weight gain.

Yaani baada ya kumtumia mkewe clip atapata jibu haraka sana kuliko kuliamsha.
 
Back
Top Bottom