VIDEO: ZARI aingia bongo kimya kimya kusaini Deal na Keds

Safi na hongera zake,huyu binti macho yake ni kwenye mapato yule mwingine kuonyesha na kuchezesha matako ila alinitamanisha sana juzi kwa zile video.
[emoji15] [emoji86] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Eti watu wanamtukana wema kwani anaetakiwa kupata deal ni wema tu wabongo kwa maneno na midomo mpo juu
Kama kapata zari sawa ni ridhiki yake
Washindani hawa ndo maana wanapambanishwa na kwa EA ndo wanaongoza kua na followers wengi
 
yaani nilishangaa nilipomwona bodigadi wa diamond Kaja kumpokea Zari majira ya jioni uwanja wa ndege nadhani hawa hawajaachana
Aaaaaaaaa [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wadada wote wakiwa serious kwenye mapato, wanaume mtakosa viburudisho vya macho. Acha wengine wawapunguzie stress kwa kuwaonyesha misambwanda.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] umeona eewh!!
 
Zari ni Malaya, aliingia mkataba na MONDI wa kukaa pamoja kwa muda, na ilipofika time dogo akaambiwa ajichanganye ili wazue mgogoro kwani wangeachana bila sababu basi Zari heshima ingeshuka ingeonekana ni malaya anajiuza. Zari hana toafuti na wale wa kindoni ila yeye kajiwekea profile ya umalaya wa hali ya juu.
 
Tayari hiyo akili mubasharaa!

Umalaya wa akili mzuri sana hawa wa kwetu wao wanalea viben 10
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenyewe kujipodoa na kushinda kwenye masaloon ya wenzao badala ya kutafuta fulusa [emoji4] [emoji4] teh teh teh
Umeona eeh!kwenye mapenzi tunaambiwa tutumie akili moyo baadaae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…