Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadada wote wakiwa serious kwenye mapato, wanaume mtakosa viburudisho vya macho. Acha wengine wawapunguzie stress kwa kuwaonyesha misambwanda.Safi na hongera zake,huyu binti macho yake ni kwenye mapato yule mwingine kuonyesha na kuchezesha matako ila alinitamanisha sana juzi kwa zile video.
Daaa shida sana jamaniDuka lisilo na bidhaa
Washindani hawa ndo maana wanapambanishwa na kwa EA ndo wanaongoza kua na followers wengiEti watu wanamtukana wema kwani anaetakiwa kupata deal ni wema tu wabongo kwa maneno na midomo mpo juu
Kama kapata zari sawa ni ridhiki yake
Aaaaaaaaa [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]yaani nilishangaa nilipomwona bodigadi wa diamond Kaja kumpokea Zari majira ya jioni uwanja wa ndege nadhani hawa hawajaachana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ivi uyu Wema mbona anawatoa sana jasho watoto wa kike wenzake [emoji23][emoji23][emoji23] ishu ya Zari kuja Bongo ila anatajwa Wema inabidi mabinti mtoke uko vichakani mliko na nyinyi mkomae hapa mjini mtengeneze majina angalau maana kwa hizi hasira mtakufa na magonjwa ya moyo BTW lile tako kwenye swimming pool kila rijali lazima airudie ile video mara 3 kama dozi flani ya malaria.
Hapo sawa GeniWashindani hawa ndo maana wanapambanishwa na kwa EA ndo wanaongoza kua na followers wengi
Wakati mrembo wetu Wema akiwa hapa Tz akituonyesha wowowo,yule mshindan wake kutoka Uganda amewasili kwa mualiko rasmi wa kupiga deal ya tangazo la pampers hapa Tz.
Hongera Zari fanya kazi mono uende kinywani,watoto wapate elimu nzuri.
Achana na team upupu na mashindano yasiyo maana mtu km Wema hana cha kupoteza,hana mtoto hana mtegemezi.
Wale wenye team huko IG Leo full kuchambana tu wabongo tuna shida haswaa!
Hatuna jema sie!!
Tayari hiyo akili mubasharaa!Zari ni Malaya, aliingia mkataba na MONDI wa kukaa pamoja kwa muda, na ilipofika time dogo akaambiwa ajichanganye ili wazue mgogoro kwani wangeachana bila sababu basi Zari heshima ingeshuka ingeonekana ni malaya anajiuza. Zari hana toafuti na wale wa kindoni ila yeye kajiwekea profile ya umalaya wa hali ya juu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenyewe kujipodoa na kushinda kwenye masaloon ya wenzao badala ya kutafuta fulusa [emoji4] [emoji4] teh teh tehTayari hiyo akili mubasharaa!
Umalaya wa akili mzuri sana hawa wa kwetu wao wanalea viben 10
wowowooooooooZile za kwenye maji?!
Tena inawachoma acha kabisa ila watashindana lakini hawataweza go mama Tee.Team naniliii leo mapovuuu maskini weee inawauma poleeeniii
Agiza konyagi kubwa nalipa kwa m- pesa.Wadada wote wakiwa serious kwenye mapato, wanaume mtakosa viburudisho vya macho. Acha wengine wawapunguzie stress kwa kuwaonyesha misambwanda.