VIDEO: ZARI aingia bongo kimya kimya kusaini Deal na Keds

VIDEO: ZARI aingia bongo kimya kimya kusaini Deal na Keds

yaani nilishangaa nilipomwona bodigadi wa diamond Kaja kumpokea Zari majira ya jioni uwanja wa ndege nadhani hawa hawajaachana
 
Kuongea ni haki yetu ya kikatiba

Ha ha haaaa roho inaumia na maisha ya mwingine kama vile hiyo katiba imeandika watu wawe na chuki.. duh!!! Eti haki.. haki gani huku mnaonyesha mlivyo eeeh lieni tu sasa..
 
Ivi uyu Wema mbona anawatoa sana jasho watoto wa kike wenzake [emoji23][emoji23][emoji23] ishu ya Zari kuja Bongo ila anatajwa Wema inabidi mabinti mtoke uko vichakani mliko na nyinyi mkomae hapa mjini mtengeneze majina angalau maana kwa hizi hasira mtakufa na magonjwa ya moyo BTW lile tako kwenye swimming pool kila rijali lazima airudie ile video mara 3 kama dozi flani ya malaria.
 
Faida za kua mzuri na mwenye akili ndio hizi..anajua kuchangamka huyu dada...haka kabinti ka kwetu kanachezesha tu makalia uko insta
 
mwanangu akiwa kama wema nabadilishana na kapu liendee sokoni sitaki uchafu huu unaoitwa wema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mtu umenifanya nicheke ovyooo
 
Back
Top Bottom