Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Wapi huko wanako jutaaa??
 
Rais mwenyewe kuhusu ushoga alishamaliza kila kitu, shida wananchi hawataki kuelewa.

Ndo ishapitaaa hiyooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee hata kama ni misaada ya taasisi ila mila,desturi,imani zinazotawala maisha yetu na majibu ya nyepesi, inasikitisha...... anyway tumeshapoteza mwelekeo tayari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna jibu litakuja "kila mtu ana faragha yake na iheshimiwe".
 
Uzi ufungwee.
 
Comment ya kufungia uzi!! [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hili neno ungeandika kwa herufi kubwa.
UNAFIKIIII.
 
Aisee hata kama ni misaada ya taasisi ila mila,desturi,imani zinazotawala maisha yetu na majibu ya nyepesi, inasikitisha...... anyway tumeshapoteza mwelekeo tayari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] misaada na mikopoo mnatakaa, ila vingine eti ooh mila na desturi?

Kwan kukopa na kupewa misaada ndo mila na desturi zenu? Woiiiiiih
 
Kwanza kabisa Muuza Kangala unajua kwamba Tanzania haina sheria inayopiga marufuku ushoga.

Usichanganye na sheria inayokataza mapenzi kinyume na maumbile tuliyorithi toka kwa Muingereza ambayo inagusa hata wanandoa au wapenzi wa jinsia tofauti. [Sijui watagundulikaje? Kwa kuchunguliwa au kwa kutegeshewa kamera na kurekodiwa kwa siri?]

Lakini leo mtu akijitambulisha hadharani kama shoga, hawezi kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Hakuna sheria ya kumshtaki kama hajakutwa akifanya tendo. Sasa ni vipi ushoga unakatazwa hapa Tanzania? Kwa kukemewa? Kwa kauli za wanasiasa?
 
Acha upumbavu. Ushoga ni unnatural offence. Kwani hata hii penal code tumeirithi toka India kwq nia njema. Pumbafu
 
Mbona swali lipo straight alafu anajibu naheshimu faraga za watu..huyu ni mkxndu anaunga mkono ushogo..ajibu ndio au Hapana..Baadhi ya wafrika bhana kama mavi tu..hata mauwaji,uchawi na ubakaji yanafanyika faraghani..kwa hiyo nahayo anaheshimu kwa mujibu ya majibu yake..watu kama hawa wanatia hasira..hapo anajiona ana akili alivyojibu hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…