Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria


Zito ni wale wanasiasa malaya,anatoa mzigo kokote kwenye fursa.
 


Very corrupt. And when one’s Soul is corrupted then he’s is dead from within.

In short, he’s part of the walking dead aka Zombie.
 
Wakiwa faragha wewe utajuaje wamesuguana?
Tena hawa wanaojifanya kuchunguza faragha za watu ni mashetani kweli kweli. Hivi mtu anayeiba fedha ya hospital na watu wakafa kwa kukosa dawa na shoga ni nani shetani zaidi? Kwenye mambo ya ushoga hata mimi siwezi kuingilia faragha za watu vyumbani mwao. Mbona wapo wanaume wengi tu wanalawiti wanawake, kwani wana tofauti gani?
 
Wao huona sawa mwanamke akiingiliwa. Hiyo sio dhambi kwao
 
Hata picha zenye kuashiria ushoga hakuna kupost, au clip za kulamba midomo wasipost, wakioost watashughulikiwa
 
Mamende utawajua tu.

eti wanajificha kwenye koti la kuheshimu faragha za watu
 
Kwelii kabisaa.
 
Poleee kwa kutesekaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya ndo maswali yako unaona yanakosa majibu? Mbna hata mtoto mdogo anajibu.
 
Hakuna cha Godless hapo, tumechoka mapropaganda yenu.

Wacha watu WABAMIZWE VINYEO kwa raha zao, kama unaona gere na wewe jiunge UTAFUNWE.

Hatutaki tena MAHADITHI YA KUFIKIRIKA, ni ama unataka kufirwa au hutaki kufirwa unapita kushoto. SIMPO.
Wizooo unajua kujibu weyee.
 
Sasa mbna JF ukizungumzia LGBTQ mada au comment inafutwaa,
Maxence Melo sorry Mr njoo ujibu hapa.
 
Bora ajee hapa aeleze kupost nn, ili watu wajue namna ya kumjibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…