jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
no, yuko vuguvugu, hivyo ni opportunist, ni aidha unapinga homosexuality kwa sababu uko upande wa Mungu au unakubali homosexuality kwa sababu you are Godless, hii ishu haina uvuguvugu, zito kabwe yuko vuguvugu sababu anaogopa kukasishirisha wayahudi ambao wanatesa waislamu wenzake hata hivyo lkn anapenda $$$ zao wanazompa, hafiki mbali kwa uvuguvugu, he is corrupt, period!
Zito ni wale wanasiasa malaya,anatoa mzigo kokote kwenye fursa.