Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Hakuna cha Godless hapo, tumechoka mapropaganda yenu.

Wacha watu WABAMIZWE VINYEO kwa raha zao, kama unaona gere na wewe jiunge UTAFUNWE.

Hatutaki tena MAHADITHI YA KUFIKIRIKA, ni ama unataka kufirwa au hutaki kufirwa unapita kushoto. SIMPO.

nafikiri labda hauelewi nini kinaendelea kwenye mjadala mzima na zito kabwe anawadanganya kwa personal gain zake kisiasa ili asionekane kama anapinga homosexuality au anakubali hakuna kuwa kati kati ni aidha ni pro homosexuality au against homosexuality lkn kusema kwamba anaheshimu faragha hiyo inaheshimika tangia enzi na enzi hakuna anayezuia mtu binafsi mwanaume ambaye ni full age kulala na mwanaume mwenzake kwa faragha chumbani kwao hilo limefanyika na linaendelea kufanyika kila siku.

kinachoongelewa hapa ni zaidi ya hilo la faragha ni kuruhusu rasmi homosexuality kisheria na itambulike rasmi na kufuta maann ya ndoa (mwanamke na mwanaume) kama tuijuavyo.

hivyo zito kabwe aache kudanganya na kusema he is for homosexuality or against homosexuality, hakuna katikati …
 
nafikiri labda hauelewi nini kinaendelea kwenye mjadala mzima na zito kabwe anawadanganya kwa personal gain zake kisiasa ili asionekane kama anapinga homosexuality au anakubali hakuna kuwa kati kati ni aidha ni pro homosexuality au against homosexuality lkn kusema kwamba anaheshimu faragha hiyo inahealshimika tangia enzi na enzi haku a anayezuia mtu binafsi mwanaume ambaye ni full age kulala na mwanaume mwenzake kwa faragha chumbani kwao hilo limefanyika na linaendelea kufanyika kila siku.

kinachoongelewa hapa ni zaidi ya hilo la faragha ni kuruhusu rasmi homosexuality kisheria na itambulike rasmi na kufuta maann ya ndoa (mwanamke na mwanaume) kama tuijuavyo.

hivyo zito kabwe aindoe hadaa na kusema he is dor homosexuality or against hakuna katikati …
Sitaki MAPROPAGANDA na MAHADITHI YA KUFIKIRIKA.

MAMBO NI MAWILI TU, Ama unataka kufirwa, ama hutaki kufirwa unapita kushoto, unakula kona.

Haina MAELEZO. SHORT AND CLEAR.
 
Sitaki MAPROPAGANDA na MAHADITHI YA KUFIKIRIKA.

MAMBO NI MAWILI TU, Ama unataka kufirwa, ama hutaki kufirwa unapita kushoto, unakula kona.

Haina MAELEZO. SHORT AND CLEAR.

hilo swali sasa ungemuuliza zito kabwe akwambie yuko upande gani, kwani amesema yuko kataikati …
 
anafadhiliwa na vyama vya kishoga vya wazungu
Mkuu hata JF tu inapata funds nyingi kwa sababu inalinda faragha za watumiaji wake. Ikitokea siku wamepinga masuala ya LGBTQ I suppose itafungiwa udhamini. So as much as tunasimamia sheria ila kuwa tegemezi kwa wazungu inatunyima uhuru moja kwa moja kupinga issue kama hizi.
 
Hakuna cha Godless hapo, tumechoka mapropaganda yenu.

Wacha watu WABAMIZWE VINYEO kwa raha zao, kama unaona gere na wewe jiunge UTAFUNWE.

Hatutaki tena MAHADITHI YA KUFIKIRIKA, ni ama unataka kufirwa au hutaki kufirwa unapita kushoto. SIMPO.
He he hee balaa
 
Halafu hii halikutakiwa kuandikwa hapa coz wenyewe nao wanakazia hoja kuwa yupo sahihi.
 
Wakifanya chumbani privately na ili mradi hakuna underage kati yao, basi hatuna sababu ya kuhangaika na mtu. Shida inakuja kujipost kwenye mitandao , hapo faragha inaondoka na utashughulikiwa
Hoja yako haiko balance ....hapo kwenye kujipost ? Je kujipost wakifanya ngono au kujipost kwa namna yoyote ...yaani mtu akiwa shoga asiweke picha zake mitandaoni ...maana wanaweza kuweka picha safi tu ila wakatumia nembo kama hizi [emoji304][emoji2524]‍[emoji304][emoji304][emoji2524]‍[emoji304]
 
Na hana cha kufanyaa, anabaki kulia kwa kwikwi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haya mapambano ni magumu sana,mungu wa waisrael aliwasha moto sodoma na gomora lakini haikisaidia kitu,iweje leo hii kwemyw dunia hii iliyochafukwa.
 
Akikujibu nitag.
Kuna dada mmoja mtangazaji
Wa radio moja maarufu ana kibar
Naona majirani walimpigia kelele maana pub yake wanajaa mashg
Na akivunga mtaa na anawekaaga kigodoro basi balaaa
Nasikia majirani wamechemka
Mtangazaj mwenye pub ana nguvu baraka kutoka juu si unajua selebreti tena [emoji1]

Ova
 
Back
Top Bottom