Video: Zuhura Yunus ulikuwa unaogopa nini?

Video: Zuhura Yunus ulikuwa unaogopa nini?

Yaani mgombea wao alivyo kilaza hata kuhojiwa na waandishi wa Habari nguli tu hataki na Anakimbia!! Mbaya zaidi ndo anataka watanzania tumchague!!! Thubutu yake!!!😂😂

Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu!

Na ulivyo wekeza kwa huyo tundu, hivi una plan B kweli, usije jinyonga tu kwa maana sidhani hata kama Mke na watoto wa tundu wamewekeza hivyo kwa tundu kama wewe, duh, ...
 
Mzee kakimbia mahojiano ya Kiswahili!! Hii ni aibu ya mwaka na mwaka 2015 alikimbia hivi hivi EL akahojiwa peke yake.

Na nyie BBC mnahoji Bashiru yeye kama nani? mngewaacha tu kama hawataki mahojiano.
 
Na ulivyo wekeza kwa huyo tundu, hivi una plan B kweli, usije jinyonga tu kwa maana sidhani hata Mke na watoto wa tundu wamewekeza hivyo kwa tundu kama wewe, duh, ...
Lazima niwekeze kwa Tundu Lissu maana hatma ya maisha mazuri ya mke wangu na watoto wangu ipo mikononi mwake.
Siwezi wekeza kwa mtu muuaji, katili na fedhuli kama Meko wenu.
 
Bashiru na polepole wapo ccm kitumbo, kifikra wapo upinzani. Mtu yeyeto aliyesoma katu hawezi awamu hii
 
Yunis kaishiwa maswali hasa baada ya kila Swali kujibiwa kitaalamu bila hisia bashir ameweza kujibu maswali ga mwandishi Ila mwandishi kaonekana kuzidiwa na wajibu hakutarajia na hakujiandaa
 
Huyu bashiru mm bnafsi simlaumu hasa nkikumbk yeye na polepole walkuwa vyama vngne wakawa wanaiponda sana ccm sasa hv wapo ccm utawaamn hao watu kwa watakachokiongea?elimu yetu mtu unakuwa na phd lkn dah!!
 
Zuhura ameogopa nini? Hata hivyo KM hajajibu swali lolote la Zuhura, amekwepa kwepa tu.
 
Bashiru amekuwa mkali mpaka anamtisha mdada wa watu, Bashiru ukiulizwa swali jibu, sio unaulizwa na wewe unajibu kwa kuuliza, tena kwa sauti ya ukali, tulieni hii ndio Tanzania ya watanzania, na Lissu ndio chaguo letu.
Wahutu ndivyo walivyo lakini muda wa kuwafurusha kwao Burundi umewadia
 
Back
Top Bottom