Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's so sad, hakuna interview yoyote ambayo Magu ashafanya na vyombo vya habari toka aingie madarakani, hata wakati huu wa uchaguzi hakuna kabisa.BBC haikufanikiwa kumpata Magufuli,huyu jamaa anaweka ukuta wa kuhojiwa.
Walikuwa vyama gani?!!Huyu bashiru mm bnafsi simlaumu hasa nkikumbk yeye na polepole walkuwa vyama vngne wakawa wanaiponda sana ccm sasa hv wapo ccm utawaamn hao watu kwa watakachokiongea?elimu yetu mtu unakuwa na phd lkn dah!!
Sisi wananchi hatutaki interview tunachotaka ni maendeleo tuu kwenda mbele.It's so sad, hakuna interview yoyote ambayo Magu ashafanya na vyombo vya habari toka aingie madarakani, hata wakati huu wa uchaguzi hakuna kabisa.
Uchaguzi wetu ni waajabu sana.
hivi kama unafamilia ya mke na watioto wangekuwa wanakujua wewe unaeandika huu utumbo wangekudharau sana yaani lissu awe raisi ? labda wa tffYaani mgombea wao alivyo kilaza hata kuhojiwa na waandishi wa Habari nguli tu hataki na Anakimbia!! Mbaya zaidi ndo anataka watanzania tumchague!!! Thubutu yake!!!😂😂
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu!
Juu ya sheria na nguvu ya umma kipi kina nguvuWapo juu ya sheria
Nguvu ya umma haina nafasi ndiyo maana CCM inafanya inavyotakaJuu ya sheria na nguvu ya umma kipi kina nguvu
UnajifarijiHako ka wakala kenu ka beberu nani akape kura?
Hii ngoma ndio imeondoka hadi 2025.
lilichelewa kuongea lile jambazi la kihutu, lilianza kuzungumza likiwa 8years oldYaani mgombea wao alivyo kilaza hata kuhojiwa na waandishi wa Habari nguli tu hataki na anakimbia! Mbaya zaidi ndo anataka watanzania tumchague!!! Thubutu yake!😂😂
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu!
Zuhura ameogopa nini? Hata hivyo KM hajajibu swali lolote la Zuhura, amekwepa kwepa tu.
Halafu huwa anasema yeye ni Rais anayejiamini....lYaani mgombea wao alivyo kilaza hata kuhojiwa na waandishi wa Habari nguli tu hataki na anakimbia! Mbaya zaidi ndo anataka watanzania tumchague!!! Thubutu yake![emoji23][emoji23]
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu!
Nikuondoe hofu ndugu yangu, CCM ina wanachama milioni 17 Tanzania nzima ambao wote wanavyeti vya kupiga kura na wamejiandikisha kupiga kura mwaka huu.Bashiru amekuwa mkali mpaka anamtisha mdada wa watu, Bashiru ukiulizwa swali jibu, sio unaulizwa na wewe unajibu kwa kuuliza, tena kwa sauti ya ukali, tulieni hii ndio Tanzania ya watanzania, na Lissu ndio chaguo letu.
Hivi kwa wajuzi wa mambo kwenye hayo mahojiano Zuhura kaonekana kuogopa kitu? Na kama kaogopa atakuwa kaogopa nini?Anaogopa akirudi likizo asije akakutana na wasiojulikana
Kaogopa kuzalilishwa maana Yale majamaa hayachelewi kusema "na ndio maana tunataka wewe binti mweupe mzuri uje uolewe huku na wazalendo"Hivi kwa wajuzi wa mambo kwenye hayo mahojiano Zuhura kaonekana kuogopa kitu? Na kama kaogopa atakuwa kaogopa nini?