Video: Zuhura Yunus ulikuwa unaogopa nini?

Leo ni maalim seif hamadi,naikumbuka kauli ya lowasa kuwa yunus anamuonea.
 
Watanzania wanachama wa vyama vingi yani Yuko ccm na pia Yuko CHADEMA fahamu tu ilo
 
Bashiru amekuwa mkali mpaka anamtisha mdada wa watu, Bashiru ukiulizwa swali jibu, sio unaulizwa na wewe unajibu kwa kuuliza, tena kwa sauti ya ukali, tulieni hii ndio Tanzania ya watanzania, na Lissu ndio chaguo letu.

..Dr.Bashiru kwenye introduction yake anazungumzia Uhuru, na Maendeleo ya Watu. Nimeona hakuzungumzia suala la Haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…