GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chama kimekatika na hakuna wa kukemea.. Tararibu zimekiukwa kila mahali .. Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwaView attachment 3430876
Nimewashauri vyama vya upinzani

 
IMG-20250804-WA0008.jpg
 
Siasa za Tanzania zina maajabu. Anakuja mtu anasema nichagueni ili niwatumikie. Watu wakikataa kutumikiwa na yeye anagawa pesa kuwashawishi. Pesa ikishindwa zinatumika nguvu.
 
Back
Top Bottom