GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chama kimekatika na hakuna wa kukemea.. Tararibu zimekiukwa kila mahali .. Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwaView attachment 3430876
Screenshot_20250804-140445.png

ccm ni laana!
 
Duh huyo huko tarime anayetukanwa ni yule msaliti
e.M 😄

Ova
 
Hii nzega Moja hii. Umafia wa bashe
KUNDI LA KIHALIFU LA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA NZEGA, BW. BASHE LAKAMATWA NA ASKARI WAKIPIGA WATU KWA KUTUMIA MAPANGA. YAANI HUYU BASHE ANAYEPANGA SAFU YA WABUNGE NCHI NZIMA ILI AWE WAZIRI MKUU WA TANZANIA YETU!?

Kwa ushahidi huu, kuna mpumbavu ye yote anakataa kuwa Bashe anamiliki magenge ya wahuni na wahalifu?😭🤦🏻‍♂️ Nahuyo Salim alievaa nguo nyeusi ni mgombea udiwani aliyepitishwa kama mke wa kikwete...

UJUMBE KUTOKA CCM
CHADEMA TULIKATAA HUU USHENZI ACHA WAUWANEEE WENYEWE KWA WENYEWE ILI SASA WAONE RAHA YA UONGOZI WA DAMU.
 
Huyo mwenye nguo blue aliyechuchumaa ni diwani anaemaliza muda wake na amegombea Tena amepita bila kupingwa na ndio chawa wa bashe
 
Back
Top Bottom