Ni kweli kabisa mkuu, Tatizo sisi wa africa tunaishi kwa kufuata mikumbo sana. Tumepiteza umuhimu wa miti-asili na sasa tumehamia kwenye Artificial drugs 💊, ambazo zimejaa kemical kibao.Mitishamba ndiyo Kila kitu! Magonjwa machache sana yasiyotibiwa na mimea,lakini asilimia kubwa ya magonjwa mengi hutibiwa Kwa mimea na hupona kabisa.
Ni kweli kabisa mkuu, Tatizo sisi wa africa tunaishi kwa kufuata mikumbo sana. Tumepiteza umuhimu wa miti-asili na sasa tumehamia kwenye Artificial drugs 💊, ambazo zimejaa kemical kibao.
Kama hauna vipengele hivi ndani ya mwili wako:-mkuu nasumbuliwa na Acid reflux / Gerd naomba msaada
Hivi huwa wanapimaje? Damu, haja au ?Kwa nchi zinazoendelea Vidonda vya tumbo ni mojawapo ya matatizo ya kiafya yanayoathiri watu wengi. Hii inatokea pale ambapo ukuta wa ndani wa tumbo au sehemu ya juu ya utumbo mdogo unapopata jeraha
Yapo mkuu, Maduka ya asili Yanapatikana, mfano Arusha na Tanga Yanapatikana. Ukienda kwenye maduka ya asili Yanapatikana pia.Doctor sasa hayo mafuta ya mamba ndo yanapatikana wapi. Au mamba wa kuua upate hayo mafuta yuko wapi kama hujafungwa miaka 30+ kwa kucheza na nyaraka za serikali.
C+++++> inawezeka hata mafuta ya mamba yenyewe ni tiba tosha bila chochote, swali ni, yanapatikana duka lipi na bei yake?
asante dr. Nyafwili japo sina vidonda vya tumboYapo mkuu, Maduka ya asili Yanapatikana, mfano Arusha na Tanga Yanapatikana. Ukienda kwenye maduka ya asili Yanapatikana pia.
Vyote unaweza kupima, ila kipimo sahihi ni haja kubwa ndo hutoa majibu sahihi kuliko kipimo cha damu.Hivi huwa wanapimaje? Damu, haja au ?
Asilimia 95 ya wagonjwa wanaoambiwa wana vidonda vya tumbo Tanzania, hawana. Mnabugia madawa tu. Upimaji hospital nyingi ni wa kubabaisha.Hongera sana Mkuu.
Uzi Mzuri sana.
Mimi niliwahi kuugua Hii kitu
1. Nilitumia Hegokit week 3.
2. Baadaye nikatengenezewa Formula ya Amoxilin, Ormoplazole na Dawa nyingine kama 2 hivi
3. Nikahamia kwenye Miti shamba na kupona kabisa.
Ua Flani Jeupe Linaitwa Jerusalemu Flower.
4.Nilitumia watu kama wa Nne hivi Morogoro
Tanga kwa Chakua Chakua.
Upareni
Moshi
Na Mwanza.
Namshukuru Sana Mungu nilipona kabisa.
Ila Sijui Dawa Iliyo niponyesha ni Ipi.
Nimeshatumia zaidi ya mara mojaTumia dose niliyoandika hapo juu mkuu.
Yes hii ndo ilinifanya nimuulize mtoa mada kuhusu upimaji, nasikia njia sahihi ya kupima vidonda vya tumbo ni unaingiziwa camera ndogo mdomoni ndo iende ikachunguze effects kwenye utumbo mdogo 🙆Asilimia 95 ya wagonjwa wanaoambiwa wana vidonda vya tumbo Tanzania, hawana. Mnabugia madawa tu. Upimaji hospital nyingi ni wa kubabaisha.
Hii nilishaifanya. Siyo ya kuogopesha/kuumiza kama watu wanavyohadithia au kudhani. Hii inatumika kama kuna maumivu na njia za kawaida hazitoi matokeo ya kuaminika. Njia nzuri na ya kuaminika huwa ni kupewa chemical au kidonge chenye urea unameza. Kama una hawa wadudu, watayeyusha hiyo chemical, na utapumua pumzi yenye mchanganyiko wa hewa ambao wakipima wanajua ni hao wadudu, Ni njia ya uhakika na kuaminika kama itafanywa kwa kitaalam. Nyingine ni kupima damu au choo lakini znahitaji utaalam la sivyo utaambiwa unao, na kupewa dawa kimakosa.Yes hii ndo ilinifanya nimuulize mtoa mada kuhusu upimaji, nasikia njia sahihi ya kupima vidonda vya tumbo ni unaingiziwa camera ndogo mdomoni ndo iende ikachunguze effects kwenye utumbo mdogo 🙆
Mkuu imejaribu kutumia triple therapy haukuponaAliye na dawa serious anipm hii kitu inanisumbua sana..!! Ya usumbufu na ya dawa ipo.
Lakini iwe uhakika..!
Mkuu imejaribu kutumia triple therapy haukuponaAliye na dawa serious anipm hii kitu inanisumbua sana..!! Ya usumbufu na ya dawa ipo.
Lakini iwe uhakika..!
Kuna majani flani yanaota barabarani hiyo dawa ni uhakika sana kesho nitatafuta picha nikutumie unabrend huko huko siku tatu unakula dagaaAliye na dawa serious anipm hii kitu inanisumbua sana..!! Ya usumbufu na ya dawa ipo.
Lakini iwe uhakika..!