Vidonda Vya tumbo: Tatizo linalozidi kuumiza jamii kimya kimya, njoo upate tiba hapa

Vidonda Vya tumbo: Tatizo linalozidi kuumiza jamii kimya kimya, njoo upate tiba hapa

Kuna majani flani yanaota barabarani hiyo dawa ni uhakika sana kesho nitatafuta picha nikutumie unabrend huko huko siku tatu unakula dagaa
Nitashukuru mkuu
 
Mkuu imejaribu kutumia triple therapy haukupona

Fragily cap 2x3
Amoxicillin 2×3
Omoplazo 1×2

One week-14 days

Mimi nimetumia dozi hiyo na nikisoma hapa JF

Kwa Sasa nakula maharage, dagaa n.k

Japo hizo mboga Huwa sizitumii ila nilipoumwa nilikuwa nakosa choo, tumbo linajaa gas , maharage nikila tumbo linavimba kama Mpira wa gozi


So kama hautapona hapo , Tafuta Mronge utumie consistency Mimi mama yangu ye alipoumwa alipona kwa njia hiyo .

Ila Mimi triple therapy ndo nimepona
Hiyo dose niliwahi kutumia labda tujaribu huo mronge. Unaweza kunielezea zaidi kama hutajali?
 
Yes hii ndo ilinifanya nimuulize mtoa mada kuhusu upimaji, nasikia njia sahihi ya kupima vidonda vya tumbo ni unaingiziwa camera ndogo mdomoni ndo iende ikachunguze effects kwenye utumbo mdogo 🙆
Upimaji una stage zake, huwezi kuanza na kipimo kikubwa wakati vipimo vya awali bado haujapima. ( matibabu na vipimo vinafuata protocol kutoka hatua ya kwanza kwenda juu)

Hii ni mojawapo ya sababu inayopelekea dawa kutofanya kazi kwa usahihi kwa sababu watu wengi wanaanza na dose kubwa bila sababu za msingi.
 
Back
Top Bottom