Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Duh! Nyie ndio mnakujaga kutoa hata Siri za jeshini...... Hamfai Kabisa...... She***zy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani hosptal napo ni jandonimmh hivi wanaume mnaruhusiwa kumbe kutoa siri za jandoni ingekua mwanamke tungekuita msungo ila wanaume sijui mnaitwaje
Mwanaume wa Dar!! teh,, teh,, teh,,,Mkuu acha tu nilipiga kelele sio ya dunia hii kabisa
Duh,, mambo ya aibu jamani.Ha ha kuna jamaa alimwaga mbonge la kimba aisee, kwa sasa ni bosi maeneo flani, tukikutana mara chache wik end tukikumbushana mambo ya zamani, nikimchomekea hiyo kitu kukauka mbavu kwa kicheko,lakini kwa sasa na hili tishio la ukimwi, vile vitendea kazi si salama tena...kwa kweli sishauri..Hospitary ni best option.
swadakta mkuu maana tulikua kama 6 ktk kambi yetu.nyimbo za asili ukakamu ndio tiliokua tunafundiswa.kwenye msosi usipime mnaagaza chochote kinaletwaNi miaka mingi imepita tangu niondolewe hili pulizo. Najiskia fahari sana kufanyiwa hii huduma bila ganzi. Niliumia ila leo najivunia.
Ilikuwa asubuhi yenye baridi kali. Kama saa kumi na mbili kasoro. Nikashtuka mlango wa nyumba niliyokuwa nimelala na wenzangu unafunguliwa. Mjomba wangu na vidume viwili vilivyoshiba vikaingia. Nilikuwa na taarifa kuwa leo govinda linarestishwa in pisi, ila sikutegemea ingekuwa kwa mtindo huu.
Nikaamrishwa kupanda mgongoni kwa njemba mojawapo, nikatii. Nlivyokwisha panda mgongoni, nikafunikwa na shuka na safari ikaanza!![emoji32] [emoji32]
Sikujua naelekea wapi, nilishtukia tu nimefika mahali naskia sauti za watu. Ile nashangaashangaa, nkashtukia nimeshushwa chini na kukalishwa mahali(baadae nlikuja kugundua kuwa ni kitanda cha telemka tukaze), nilivyokalishwa juu ya kitanda, nilipigwa pini kwa miguu ambayo hadi leo naiheshimu.
Nkashtuka dushe inashikwa, kutahamaki! Ile naanza kulia..maaa...!![emoji15] Ngariba kamaliza. Haikuchukua muda nikapona tena bila bandeji wala plasta!
Naamini tupo wengi tuliopitia hii huduma bila ganzi. Nimekaa nikaona tutafutane ili ikiwezekana huu utaratibu tuupigie kelele urudi. Naamini hospitali ndio chanzo kikubwa cha mfumko wa vibamia na mashoga nchini! Karibuni.
mtoa mada hajaongea kuhusu hospital ni jandoni hiyokwani hosptal napo ni jandoni
Nipo Mimi naweza hiyo kazi.natafuta ngariba anikekete
Utakuwa na kibamia wewe.Mimi ilikua hosptali kama kawa staki shida mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Utakuwa na kibamia wewe.
hata kama na kakibamia ni kangu nagegedea ivo ivo cwezi kupata maumivu kisa milaUtakuwa na kibamia wewe.
Shemeji hapati raha stahili. Ikipita kwa ngariba inakuwa rough kwenye shingo kitu kinachofanya mwanamke apate raha aaawhata kama na kakibamia ni kangu nagegedea ivo ivo cwezi kupata maumivu kisa mila
Hakuna siri niliyotoa hapo, na wala hakuna niliposema nimeenda jando. Nimeongelea kukatwa bila ganzi, na ukataji sio lazima ufanane! Kuna waliokatiwa nyumbani bila ganzi, nalo ni jando?! Ningeelezea vitendo vilivyoendelea baada ya hapo, ingekuwa ndio nimetoa siri! Hata hivyo jando na unyago vinafundishwa mashuleni, kwahiyo wala hakuna cha ajabu hapo!Aisee hivi kumbe nyie mnaruhusiwa kutoa siri za jandoni,sisi mbona tunaambiwa kuwa ni mwiko kutoa siri za unyagoni? Kweli mfumo dume hautaisha Afrika.