Slaa kinachomponza ni kwa sababu aliwahi kuwa padri wa kikatoliki. Kwa wahafidhina serikalini, ukatoliki ni sumu isiyotakiwa. Balozi Karume majuzi alisuguana sana na serikali na CCM lakini haikutokea akakamatwa na kuvuliwa ubalozi. Karume angekuwa mkatoliki, yangemkuta haya haya ya Slaa, lakini yeye alikuwa upande salama unaoruhusiwa kuonyewa na kuyamaliza.