kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Bibie anademka ndo muda wakudemka nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2956][emoji2956]Balozi mpuuzi anashughulikiwa ipasavyo
Udini ni ukichaa....Slaa kinachomponza ni kwa sababu aliwahi kuwa padri wa kikatoliki. Kwa wahafidhina serikalini, ukatoliki ni sumu isiyotakiwa. Balozi Karume majuzi alisuguana sana na serikali na CCM lakini haikutokea akakamatwa na kuvuliwa ubalozi. Karume angekuwa mkatoliki, yangemkuta haya haya ya Slaa, lakini yeye alikuwa upande salama unaoruhusiwa kuonyewa na kuyamaliza.
KweliUdini ni ukichaa....
Ina make senseIssue kubwa kwa Slaa ni ukatoliki wake; huenda hata Mabeyo akakutana na kadhia hiyo kwani nae ni mkatoliki. itachukua uamuzi mgumu sana serikalini kutangaza Balozi Mabeyo.