Vienna Protocol inakataza kukamata Balozi wa mwenzio. Tanzania ilikamata balozi wake yenyewe! Kumvua ubalozi hakufuti aibu

Vienna Protocol inakataza kukamata Balozi wa mwenzio. Tanzania ilikamata balozi wake yenyewe! Kumvua ubalozi hakufuti aibu

Slaa kinachomponza ni kwa sababu aliwahi kuwa padri wa kikatoliki. Kwa wahafidhina serikalini, ukatoliki ni sumu isiyotakiwa. Balozi Karume majuzi alisuguana sana na serikali na CCM lakini haikutokea akakamatwa na kuvuliwa ubalozi. Karume angekuwa mkatoliki, yangemkuta haya haya ya Slaa, lakini yeye alikuwa upande salama unaoruhusiwa kuonyewa na kuyamaliza.
Udini ni ukichaa....
 
Issue kubwa kwa Slaa ni ukatoliki wake; huenda hata Mabeyo akakutana na kadhia hiyo kwani nae ni mkatoliki. itachukua uamuzi mgumu sana serikalini kutangaza Balozi Mabeyo.
Ina make sense
 
Back
Top Bottom