Views za Harmonize YouTube kupanda ghafla zinatia shaka

Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers.

Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5m
Views hua hawanunuliwi ila sema wanafanya kuboost wimbo yaani unaenda site nyingi na kuna baadhi ya sehemu unalazimishwa kuplay.
Ndo maana kuna kipengele cha promote or boost.
Pia usilo lijua wimbo huo unaweza kua watu Wengi wanausambaza
 
Miaka iliyopita ukiangalia video yoyote YouTube unakuta video ya Diamond ina pop Kama advert ambayo ni promo ,kwahiyo uwezekano upo pia kwamba amelipia promo youtube
 
Miaka iliyopita ukiangalia video yoyote YouTube unakuta video ya Diamond ina pop Kama advert ambayo ni promo ,kwahiyo uwezekano upo pia kwamba amelipia promo youtube
Ndo ipo hivyo hao wanafanya kupromote vitu vyao
 
Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers.

Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5m
 
Attachments

  • F149962F-42E8-4F07-ABE8-FF5C698747C7.mp4
    402.8 KB
Trending zinawekwa kitaifa hiizo inaweza kuwa na more views lakini umetrend zaidi congo,Kenya na Uganda but Tanzania umezidiwa kwenye trending kwahio utaonekana upo chini trending Tanzania lakini katika hizoo nchi nyingine ukawa juu zaidi
Nawewe unaamini yale madudu aliyoimba zuchu ndio yanatrend tanzania? Hivi unajua dablyiyusibii mna vituko sana?
 
Nawewe unaamini yale madudu aliyoimba zuchu ndio yanatrend tanzania? Hivi unajua dablyiyusibii mna vituko sana?
Pita mtaani sasahiv huo wimbo upo kila sehemu alafu tafuta nyimbo ya alikiba na diamond kama utazisikia dar watu wanapenda sana singeli maana mpk EFM radio kila muda unausikia huo wimbo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Lini uliona wimbo wa diamond umefungiwa na Youtube? au umepunguzwa viewers kama nyimbo za wasanii wengine? Kingine Ngoma nyingi za diamond zinafikisha kuanzia 50M+ pale zinapofunja record za kufikisha 1M kwa muda mchache kwa maana nyingine zina continues za viewers pia unakuta ukiangalia kwenye like zinaongezeka na zinakuwa trending sambamba na comment lakini wadau wametengeneza doubt kwa mmakonde kwasababu Ngoma yake views zinaongezeka lakini dislike, like na comments zimeganda na Cha ajabu Ngoma yake haipo trendi ng japo ina viewers wengi ukisema Tanzania haiangaliwi Sana hata uko kenya, uganda ambapo angalau anajulikana napo hayupo trending sasa wadau wanajiuliza hiyo Ngoma inatazamwa wapi?
 
Baah bwana wewe, kwani wamakonde tumefanya kufanyaje ivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…