herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Hata uitazame x200 inaesabika views 1Nyimbo nzuri mimi nimeisikiliza zaidi ya mara 20 YouTube sasa tupo wangapi kama mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata uitazame x200 inaesabika views 1Nyimbo nzuri mimi nimeisikiliza zaidi ya mara 20 YouTube sasa tupo wangapi kama mimi
Views hua hawanunuliwi ila sema wanafanya kuboost wimbo yaani unaenda site nyingi na kuna baadhi ya sehemu unalazimishwa kuplay.Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers.
Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5m
Hujui ww kuhusu viewers kaa kimyaHata uitazame x200 inaesabika views 1
Miaka iliyopita ukiangalia video yoyote YouTube unakuta video ya Diamond ina pop Kama advert ambayo ni promo ,kwahiyo uwezekano upo pia kwamba amelipia promo youtubeViews hua hawanunuliwi ila sema wanafanya kuboost wimbo yaani unaenda site nyingi na kuna baadhi ya sehemu unalazimishwa kuplay.
Ndo maana kuna kipengele cha promote or boost.
Pia usilo lijua wimbo huo unaweza kua watu Wengi wanausambaza
Ndo ipo hivyo hao wanafanya kupromote vitu vyaoMiaka iliyopita ukiangalia video yoyote YouTube unakuta video ya Diamond ina pop Kama advert ambayo ni promo ,kwahiyo uwezekano upo pia kwamba amelipia promo youtube
Sawa😊Hujui ww kuhusu viewers kaa kimya
Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers.
Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5m
Nyimbo nzuri mimi nimeisikiliza zaidi ya mara 20 YouTube sasa tupo wangapi kama mimi
Zeroo point zero zerooooViewers za video yako zinasoma ngapi mkuu?
Hao viewers anawanunulia wapi?
Nawewe unaamini yale madudu aliyoimba zuchu ndio yanatrend tanzania? Hivi unajua dablyiyusibii mna vituko sana?Trending zinawekwa kitaifa hiizo inaweza kuwa na more views lakini umetrend zaidi congo,Kenya na Uganda but Tanzania umezidiwa kwenye trending kwahio utaonekana upo chini trending Tanzania lakini katika hizoo nchi nyingine ukawa juu zaidi
Madudu ni kwako lakini kwa wengine ni nzuri kunamsemo wengi wapeNawewe unaamini yale madudu aliyoimba zuchu ndio yanatrend tanzania? Hivi unajua dablyiyusibii mna vituko sana?
Pita mtaani sasahiv huo wimbo upo kila sehemu alafu tafuta nyimbo ya alikiba na diamond kama utazisikia dar watu wanapenda sana singeli maana mpk EFM radio kila muda unausikia huo wimboNawewe unaamini yale madudu aliyoimba zuchu ndio yanatrend tanzania? Hivi unajua dablyiyusibii mna vituko sana?
Lini uliona wimbo wa diamond umefungiwa na Youtube? au umepunguzwa viewers kama nyimbo za wasanii wengine? Kingine Ngoma nyingi za diamond zinafikisha kuanzia 50M+ pale zinapofunja record za kufikisha 1M kwa muda mchache kwa maana nyingine zina continues za viewers pia unakuta ukiangalia kwenye like zinaongezeka na zinakuwa trending sambamba na comment lakini wadau wametengeneza doubt kwa mmakonde kwasababu Ngoma yake views zinaongezeka lakini dislike, like na comments zimeganda na Cha ajabu Ngoma yake haipo trendi ng japo ina viewers wengi ukisema Tanzania haiangaliwi Sana hata uko kenya, uganda ambapo angalau anajulikana napo hayupo trending sasa wadau wanajiuliza hiyo Ngoma inatazamwa wapi?Hapa shida ni Moja Sasa kipindi Cha nyuma watu walilalamika kuhusu WCB kununua Views tukaambiwa hakuna mtu mwenye uwezo wa kununua Views sasa ebu twambieni mfanye nini Ili mle matapishi yenu tuanze kuamini Ile kauli ya nyuma ambayo mliikana nyinyi wenyewe
Baah bwana wewe, kwani wamakonde tumefanya kufanyaje ivo.Huyu mtoto fala sana na cjui anapata faida gan aiseee! jana kabla ya gemu la simba na yanga tulikuwa na mshkaji angu, tukaview, alikuwa ana 1.9M+!
Night baada ya kutoka kwny game ya ukraine na uingereza jamaa yangu akanambia sandakalawe imefikisha views 3.8M+...
Just imagine, masaa km 8 hv inapata views karibia 1.9M+ na sio new release,
Hapa kuna namna mmakonde anafanya sio bure.!
Hawa wamakonde wanataka kutuharibia mziki wetu