Views za wimbo wa King Kiba Zashuka Youtube

Kiukweli Kiba nampenda sana sana ila shida siku hizi nyimbo zake navuta hisia sana ndio niafiki kaimba sasa atapataje viewers wengi na haeleweki?
 
Halafu hilo la "spartcus mnyama mkali" sio group la Vicoba kweli?

Nimepitia google kidogo nifahamu kwa nini views zinapungua na katika machapisho yote sijaona sehemu iliyoandikwa WCB wala Diamond Platinumz. Hivyo wewe Ronaldinho na Ali Kiba wako embu msiwe kama tikitimaji,hata mkikomaa bado hambadiliki rangi.
Why Do My Youtube Video Views Suddenly Dropped Or Disappeared
 
Hapo alipo anatamani uzi wake mwenyewe haufute ujuaji na ukiherehere umemuumbua πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Anafutia wapi access ya kufanya hivyo tumenyimwa....yan hapa ukishaandika Uzi unakuwa Mali ya JF

Robidinyo badilisha tu ID la sivyo thread zako zijazo zitakuwa zinapata tabu sana.... Kingine muombe Melo akufutie huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna vitu kuvifanya inatakiwa uwe na kiwango fulani cha uchizi kichwani..moja ya vitu hivyo ni Kumshabikia Alikiba.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kumshabikia Alikiaba na kua tahira maandazi...Umetu prove mtoa mada na wenzio
Duuuh.
 
Juzijuzi hapa Chris Brown alimuomba king Kiba afanye nae collabo, King akakataa. Angekuwa Diamond angeongea kweli! Sema king Kiba hapendahi show offs ndio mana kanyamaza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…