Views za wimbo wa King Kiba Zashuka Youtube

100/100

Huko kwenye maswala ya IP usiwapeleke manake unaweza ukajikuta umetokea IPv6.

Watu wengi hawajui hizi system zinavyofanya Nazi,kuna backup za kutosha,Redundant links,bado kuna Robots zinazofanya auditing ktk kila video,kila sekunde.

Kuna watu washazoea kulalamika ,hata uwaeleshe vp hawakuelewi cha msingi unawacha.
 
Kuna vitu kuvifanya inatakiwa uwe na kiwango fulani cha uchizi kichwani..moja ya vitu hivyo ni Kumshabikia Alikiba.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kumshabikia Alikiaba na kua tahira maandazi...Umetu prove mtoa mada na wenzio
yaani huyu jamaa bwana sijawahi kumkubali kila siku kulia lia
 
Hua naongea mara moja mbili nikiona anaendelea kunibishia huku hata akili kichwani hana namuweka kwenye block list tu, sina muda na ujinga mimi.
 
Hapa nimetoa taarifa, na hii ndiyo reply yangu ya mwisho. Siku nyingine ukiniona kwenye sredi ya huyu jamaa nitemee makohozi usoni mkuu.
Usifanye hivo Spartacus mnyama mkali atakosa wachangiaji aisee 😃😃
 
Mkuu siku zote wanaofeli kwenye mambo yao na wakakosa ujasiri hawaishi kulialia na visingizio ili waonewe huruma....imekua desturi kwa wasanii wakifeli kuhusisha WCB kama ilivyo zamani kuwahusisha clouds Ali kiba ni mzembe miaka yote inajulikana uzuri injinia wao amefafanua vizuri kabisa na aibu zimewashukia.

Hili tukio nafananisha na mmakonde alipoenda kupiga shoo ya sayona mbeya aliomba kibali mwisho saa 4 usiku yeye akapiga mpaka saa 6 usiku polisi walipfanya kazi yao akakimbilia mtandaoni kulia lia na kuwashtumu management yake ya zamani kuwa inamfanyia fitna baadae RPC wa mbeya akamlipua na barua akaitoa aibu ikamrudia na kufuta ile post...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu kuvifanya inatakiwa uwe na kiwango fulani cha uchizi kichwani..moja ya vitu hivyo ni Kumshabikia Alikiba.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kumshabikia Alikiaba na kua tahira maandazi...Umetu prove mtoa mada na wenzio
Duh! Wewe usiyemshabikia mbona hatuoni cha maana toka kwako. Acha roho ya kichawi bwana mdogo!
 
 
hivi kati ya alikiba na wewe nani mzembe jamaa yangu[emoji23][emoji23][emoji23]

huu ushabiki wenu imekuwa burudani kwa baadhi yetu humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa una magroup 21.. Jamaa si bure atakuwa alikiba ananunua bando si bure halafu unatuaibisha wanaume magroup mengi kama mdada aaah... Ndio maana Mods wanafuta nyuzi zako kila kukicha alikiba mara harmonize. Hata kama hupendi WCB jamaa una ushabiki mandazi..
Unahitaji msaada wa haraka kapime mkojo na damu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…