Views za wimbo wa King Kiba Zashuka Youtube

mkuusamahani kma nimekukwaza,nimetoka kanisani ijumaa kuu,amani itawale nimefuta comment zangu
 
Hahahaha unajua kati ya mambo magumu na ya maajabu kabisa ni kuwa Mshabiki wa Mfalme Helode!

Yani yeye hana anachojua zaidi ya kutoa lawama kwa Diamond!

Kwanini watu wasitafute msaada na kuuliza sababu za views kushuka? Hiv Diamond na group lake wanapata faida gani kupinguza views za Alikiba!

Hakika hakuna ujinga umekuwa mgumu kuwatoka watu wa kiba na Alikiba kama huu ujinga wa kumlaumu Diamond kwa kila jambo!


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hi inaonesha wakilala na kuamka Wana muwaza Sana diamond kiufupi diamond kakaa kwenye akili zao kuliko kitu kingine.
 
mimi sijaona mahali diamond katajwa kisababisha views kushuka,au ndio kiwashwa jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…