Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

Nikisikia neno OC-CID nakumbuka Stakishari.
Dah!!
 
Ocd ni nani? Na majukumu yake
Officer Commanding District kwa kiswahili Mkuu wa Polisi wa Wilaya.

Majukumu yake ni kuhakikisha Wilaya aliyopo inakuwa na utulivu na amani. Pia kwa awamu hii ni lazma ahakikishe katika wilaya yake Chadema hawasumbui.
 
basi msipowapromote sahiz wanapigia simu baba zao unakuta wale wenye shda ndo wanapata fursa sana mtoto wa maskini utasota tu
 
Tuwekeeni na vya magereza, zimamoto, uhamiaji, na JWTZ navyo tuvijue wakuu
 
Wakubwa polen kwa shuhuli za Kujenga Taifa letu......kuna swali linanisumbua Kuhusu vyeo vya jesh letu la polisi kwa mfano unakuta polis labda ni RPS au OCD au tena OCID hii imekaaje kiutofaut na vyeo kama CORPLO, SARGENT, INSPECTOR.....kama sijaeleweka ntaomba kuiweka sawa kulingana na kunijibu kwenu.....nawasilisha
 
police hawana cheo cha rps wala ocd.. nijuavyo ocd ni madaraka ,cheo kinaweza kuwa asp,acp,sacp etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…