Vifaranga vya broiler vimekuwa taabu sana kupatikana, nifanye nini?

Biashara ya kuku wengi wameacha maana ni hasara tupu ukiwa mfugaji
 
Mkuu interchiki nimepiga simu Jana tu wakasema nilipie 40% kuvipata Hadi 08/11/2021 Sasa pesa niliyonayo siwezi kuiweka huko kwa almost nusu mwaka huo na pia kwa muda huo nitaishije?

Raha ya kufuga ulipia walau week moja upate mzigo
Mpaka mwezi wa kumi na Moja simuanze kuagiza nje hao vifaranga?
 
Hawauzi kwa watu wasioeleweka! Labda uende kama kampuni kwenye utaratibu maalum nao!
Unakiuka msg yako ya mwanzo ,hata wewe ukienda watakupa utaratibu wa kulipia na siku haouna oda nyingi unaweza kulipa na kupewa the same week ,hawana Cha wewe Ni Nani ,wanaangalia pesa tu
 
Baada ya kufuatilia kwa baadhi ya wajuzi wanasema broiler akitunzwa vizuri mpaka kufikia miezi 5/6 anaweza kutaga mayai ambayo akiwekwa na dume yanaweza kuanguliwa na vikapatikana vifaranga vya broiler, mi naona huku twendako tutazalisha vifaranga na chakula tutatengeneza wenyewe, au nasema uongo ndugu zangu!, tujitegemee tuachane na utegemezi.......in mzee voice.
 
Something is better than nothing, chukua hao 400 kaka
Mia nne nikipiga hesabu hainipi faida najishosha tu ,nimewatoa Mia nne juzi Kati kwa hiyo nimeamua niwe naweka 500

Sasa hivi bandani Nina 500 kishingo
 
Nitakuchangia kila nikiwa nachukua broiler nachanganya na hao wa kwako kidogo nimejaribu Mara hii vimefanya vizuri . Nikija kuuza broiler hivyo naamishia Banda lingine
Mkuu sio Mimi muhusika... Hili tangazo lipo humu, nimeona nilisogeze kwenu kama lita wafaa...

Sihusiani na huyo jamaa muuzaji kwa namna yoyote ile...
 
Mkuu sio Mimi muhusika... Hili tangazo lipo humu, nimeona nilisogeze kwenu kama lita wafaa...

Sihusiani na huyo jamaa muuzaji kwa namna yoyote ile...
Sawa Kiongozi umemfanyia Jambo jema
 
Uko sahihi kabisa mkuu,ni kweli broiler anaweza akataga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…