cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Biashara ya kuku wengi wameacha maana ni hasara tupu ukiwa mfugajiNachoona Ni kuacha tu kufuga broiler ,niongezee ngombe wa maziwa maana , vifaranga ununue 2300 chakula wastani mfuko Ni 64,500 haya uje uuze 5500/5800
Tungekuwa na umoja tungepandisha Bei walau 6000 /6100
Najiuliza kwanini tulanguliwe na wakala kiasi hicho yaani yeye apate sh 500 kwa kila kifaranga ?? Kwa mtaji wa mteja ?
Maana pesa unampa cash anakataka zake zingene analipa kwa kampuni alafu anakuambia subiria siku ya kuchukua