Vifo 6 vya Bodaboda vinavyodaiwa kutokea kwenye Mashindano Arusha ni uzembe mkubwa sana, Waandaaji wanapaswa kuwajibishwa

Pamoja na kwamba kijiografia Arusha ni moja ya majiji yenye uchumi mkubwa hapa Tanzania lakini watu wake ni WASHAMBA sana.

Kuna hii kitu inaitwa WADUDU halafu unakuta wananchi mpaka Mkuu wa Mkoa anatambua UCHAFU kama huu Stupid.

Siwasikitii hao waliokufa kwa vile ni WAPUMBAVU!! Unaanzaje kuingia mashindano ya pikipiki kwa kutumia low quality motorbike kama Toyo, Boxer au TVS??

ARUSHA acheni ushamba
 
Hizo pikipiki low quality hazikuingia mashindano tafadhali

Kwenye mashindano kulikuwa na pikpiki high quality

Hao waliokufa ni bodaboda wenye pikipiki zisizo za mashindano na walifia huko mjini wakiendesha tuu uchizi barabarani
 
Too personal mkuu.
Makonda hakuandaa hayo mashindano, ameyatumia tu kwa faida zake za kisiasa.
Mashindano yapo miaka na mika, huwa yanafanyika kila mwaka Arusha na Moshi.
Ajali iliyotokea kwenye mashindano ni moja tu, bike kukatika stealing na mhusika hakuumia popote na kesho yake akapewa bike mpya.

Lema analeta siasa tu, ila hata yeye ukweli anaujua.
 
Hizo pikipiki low quality hazikuingia mashindano tafadhali

Kwenye mashindano kulikuwa na pikpiki high quality

Hao waliokufa ni bodaboda wenye pikipiki zisizo za mashindano na walifia huko mjini wakiendesha tuu uchizi barabarani
Asante kwa kutufumbua macho
 
Wewe unampinga Lema? Kwa authority ipi? Au na wewe ni kati ya wale vijana wanalipwa ujira na Bashite kumpamba kwenye mitandao ya jamii?
 
Hizo pikipiki low quality hazikuingia mashindano tafadhali

Kwenye mashindano kulikuwa na pikpiki high quality

Hao waliokufa ni bodaboda wenye pikipiki zisizo za mashindano na walifia huko mjini wakiendesha tuu uchizi barabarani
Lema ni muongo.
Kawajumlisha boda boda waliochomwa moto kwa tuhuma za kukwapua pochi za watu, wako 4 na wale wadudu waliogongana ndio katengeneza habari.
 
Mashindano ya rally yanahitaji mafunzo ya kutosha ikiwemo upimaji wa afya za washindani.
Wazo lilikuwa zuri, siku zijazo wasiokoteze vijana mitaani.
Mbona kama walipata ajali barabarani na sio kule lakilaki?? Yani vijana walipotoka kule wakaanza kuigiza kama wale washindani wenye mapikipiki makubwa na walikuwa washatupia mirungi na pombe bas wakapata ajali. Wahimizwe kuvaa kofia ngumu
 
Mtu aliewahi kufika Arusha hawezi kushangaa michezo ya pikipiki, inafanyika hadharani bila tahadhari yoyote. Vifo vya bodaboda kwa Arusha ni kila siku
 
Huyu makonda kaja kupiga lubricant,lema anaweweseka sana kiufupi arusha ni ndoto kwake ,wakina mama hawamuelewi hata bodaboda hawamueli na walikuwa wapiga kura wake
 
Walahi niliposikia mashindano ya Pikipiki nilidhani zile za 1000cc na waendeshaji wamejiandaa haswa

Kumbe jamaa kaandaa kutoa kafara
Masikini hawa kutafuta ugali wao tu wanatukanwa
Sasa wakaamua kusikiliza upumbavu huo wa mashetani
 
Jinai haina ukomo, lile tapeli Mwwamposa nae likamatwe kwa kuua watu 21 mwaka 2021, au sababu kiongozi wa dini wa kigalatia ndio maana hakushtakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…