Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndugu zenu ni sehemu ya hao wajingaUjinga wa watu wachache unachukua uhai wa ndugu zetu
Waliokufa ni watatu tu sio kumi uongo .Lema muongoWote kumi, polisi Kwa nini wasizuie maafa Makubwa haya!! Hii haijakaa SAWA,!!
Nenda youtube imetangazwa vyombo kibao ila hawakufa kwenye mashindano na waliokufa ni watatu tu sio kumi kama uongo wa Lema unavyosemaKumbe watu walikufa na hamsemii
Pamoja na kwamba kijiografia Arusha ni moja ya majiji yenye uchumi mkubwa hapa Tanzania lakini watu wake ni WASHAMBA sana.Kifupi Lema anazidi kujiharibia Arusha sababu watu wakijua kuwa wale hawajafia kwenye mashindano credibility yake Arusha inakufa
Uzuri waliokufa ni boda boda hivyo taarifa za uongo wake zitasambaa haraka vijiwe vya bodaboda vyote Arusha kwa spidi ya mwewe na yeye bodaboda kutokuwa na imani naye kwa uongo wake
Hizo pikipiki low quality hazikuingia mashindano tafadhaliPamoja na kwamba kijiografia Arusha ni moja ya majiji yenye uchumi mkubwa hapa Tanzania lakini watu wake ni WASHAMBA sana.
Kuna hii kitu inaitwa WADUDU halafu unakuta wananchi mpaka Mkuu wa Mkoa anatambua UCHAFU kama huu Stupid.
Siwasikitii hao waliokufa kwa vile ni WAPUMBAVU!! Unaanzaje kuingia mashindano ya pikipiki kwa kutumia low quality motorbike kama Toyo, Boxer au TVS??
ARUSHA acheni ushamba
Too personal mkuu.Mimi nafikiri Watanzania wanaomuamini huyu Zerobrain BASHITE ndiyo wapumbavu. Waache waendelee kutumika. Mtu aliyeshindwa hata kupata D mbili kwenye NECTA hawezi kuwa na fikra chanya.
Ukiangalia tu sura ya Bashite na alivyojaza msambwanda hakuna namna anaweza kuwa na akili kichwani.View attachment 3044114
Asante kwa kutufumbua machoHizo pikipiki low quality hazikuingia mashindano tafadhali
Kwenye mashindano kulikuwa na pikpiki high quality
Hao waliokufa ni bodaboda wenye pikipiki zisizo za mashindano na walifia huko mjini wakiendesha tuu uchizi barabarani
Wewe unampinga Lema? Kwa authority ipi? Au na wewe ni kati ya wale vijana wanalipwa ujira na Bashite kumpamba kwenye mitandao ya jamii?Too personal mkuu.
Makonda hakuandaa hayo mashindano, ameyatumia tu kwa faida zake za kisiasa.
Mashindano yapo miaka na mika, huwa yanafanyika kila mwaka Arusha na Moshi.
Ajali iliyotokea kwenye mashindano ni moja tu, bike kukatika stealing na mhusika hakuumia popote na kesho yake akapewa bike mpya.
Lema analeta siasa tu, ila hata yeye ukweli anaujua.
Lema ni muongo.Hizo pikipiki low quality hazikuingia mashindano tafadhali
Kwenye mashindano kulikuwa na pikpiki high quality
Hao waliokufa ni bodaboda wenye pikipiki zisizo za mashindano na walifia huko mjini wakiendesha tuu uchizi barabarani
Kwa nini Arusha mfuge Wadudu? Hebu jitathmini unaishi mkoa ambao kuna watu wanaitwa WADUDU? StupidLema ni muongo.
Kawajumlisha boda boda waliochomwa moto kwa tuhuma za kukwapua pochi za watu, wako 4 na wale wadudu waliogongana ndio katengeneza habari.
Mbona kama walipata ajali barabarani na sio kule lakilaki?? Yani vijana walipotoka kule wakaanza kuigiza kama wale washindani wenye mapikipiki makubwa na walikuwa washatupia mirungi na pombe bas wakapata ajali. Wahimizwe kuvaa kofia ngumuMashindano ya rally yanahitaji mafunzo ya kutosha ikiwemo upimaji wa afya za washindani.
Wazo lilikuwa zuri, siku zijazo wasiokoteze vijana mitaani.
Mtu aliewahi kufika Arusha hawezi kushangaa michezo ya pikipiki, inafanyika hadharani bila tahadhari yoyote. Vifo vya bodaboda kwa Arusha ni kila sikuMbona kama walipata ajali barabarani na sio kule lakilaki?? Yani vijana walipotoka kule wakaanza kuigiza kama wale washindani wenye mapikipiki makubwa na walikuwa washatupia mirungi na pombe bas wakapata ajali. Wahimizwe kuvaa kofia ngumu
Jinai haina ukomo, lile tapeli Mwwamposa nae likamatwe kwa kuua watu 21 mwaka 2021, au sababu kiongozi wa dini wa kigalatia ndio maana hakushtakiwaHuwa nasema kila siku humu, CCM mtaji wao mkuu namba moja ni Ujinga wa hili taifa na pili na umasikini.
Bodaboda ni watu wanatumika kisiasa sana na kwa sababu ya kiwango chao cha juu cha ujinga walicho nacho hawajui kama wanatumika kiasiasa.
Kule Arusha jumapili kulikuwa na mashindano ya Pikipiki, na inaaminika Bodaboda 6 wamefariki kwwnye hayo mashindano hao ni kuacha walio Mount Meru Hospital kwa sasa wakiwa wamevunjika vunjika miguu.
Ila tukirudi kwenye Uhalisia je BODA BODA ZILE TOYO NI PIKIPIKI ZA MSHINDANO? hapa tu Africa kuna nchi hizi Toyo haziruhusiwi make hazina hata quality ya kubeba binadamu na kuwepo barabarani.
Kwa sababu sisi ni Taifa la wajinga tumezigezua kuwa ni mtaji wa kisiasa na ndio maana zinachinja watu daily.
Kama kuchinja watu barabarani hakutoshi sasa wakina Makonda wameamua kuzitumia kwenye mashindano ya pikipiki kutafuta mailage.
Ujinga na Umasikini vitaendelea kuwa mitaji ya wana CCM kwa muda mrefu sana
Kwenye utawala wa Sheria waandaaji wa hayo mashindano walipaswa kuwa ndani kwa sasa ila hilo haliwezekani Tanzania hii ya wajinga.
Chanzo: Nipashe