Siku zilikuwa zimefika kapigwa na wanamgambo wasio na mafunzo yoyote yeye akiwa Marshal.Huyo alijitakia mwenyewe kifo. Unatawala kidikteta kwa miaka 30, unafanya uchaguzi wa maigizo na kujitangazia ushindi kibabe, una maadui kibao wa ndani, bado unakwenda battlefront kufuata nini?
Mwanakulitafuta mwanakulipata
Madikteta wanakufa vifo vya fedheha na aibu sana. Karma