Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Na ndio maana nawaheshimu sana marehemu.Wewe ukifa nani atajua humu?? Kengemaji wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio maana nawaheshimu sana marehemu.Wewe ukifa nani atajua humu?? Kengemaji wewe
Bhangi haijawahi kumwacha mtu salama,au shida ni malezi,?Wafe tu madicteta wote tulipo kama dunia hatuitaji viongozi madicteta
Is obvious,Angalia Laurent Kabila alivyouawa, mlinzi wake Rashid Kasereka, ambaye baadaye alipigwa risasi na Col Eddy Kapendi. Ni kama mchezo wa kuigiza. Maana inasemekana Rashid alikuwa anasubiriwa na mtu nje ya Ikulu huku ngazi ya kuruka ukuta nje ikiwa imeandaliwa. Mpaka leo hii nani alipanga njama za kumuua Kabila ni ndoto.
Mauaji ya Cyprian Ntayaramirwa na Habyarimana yalionesha namna gani ukiwa Rais wa Kiafrika unakuwa unawindwa ili uuliwe kwa nguvu au kwa kutumia akili.
Leo hii Idris Deby Rais wa Chad anauawa akiwa battlefront, jambo ambalo ni mashaka makubwa.
Kwamba Rais wa nchi anakwenda battlefront taarifa kamili za kiusalama?
Duh, watanzania tumuombe Mungu.